Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kadri muda unavyokwenda mbele, basi kila kitu unachokijua kinabadilika; vijana wanakuwa wazee, Teknolojia inakua kwa kasi, biashara na makampuni yanabadili utaratibu wa kujiendesha but still unataka uwe vile vile, who the hell do you think you are?
Kila siku unataka ufanye vitu kwa style ile ile, kisa tu ilikupa au ilimpa fulani mafanikio, aisee badilika, ongeza ubunifu.
Ulipopata pesa ulihonga, kisha ukaahidi ukipata nyingine utabadilisha style yako but still ni lofa yule yule. Una date mwanaume au mwanamke ambae hataweza kukufikisha au kuamini katika Safari yako ya mafanikio, wa nini sasa? Kisa he can fu*k well or she is beautiful? Je mnahisi mtakula hizo romance?
Hakuna njia mbili kwa safari moja, kijana usitegemee utapata nafasi ya kurudi nyuma na kwenda kurekebisha makosa yakoo coz that is a big hell no, labda concept ya time travel ifanikiwe.
So, kama utachagua kufanya kazi, au kuwa bize na mapenzi au starehe it's up to you mjuba. Ngono isiyo salama ni chanzo cha;
Unataka kuwa tajiri, but still una maoni ya kimasikini ndani yakoo, kutwa story za mademu, make up, hair style mpya, Ronaldo na Messi nani mkali; Buddha you better change, hakuna tajiri ambae ana muda wa kupoteza zoba wewe.
Soma hata vitabu, angalia hata documentary za matajirii, acha au punguza watu ambao hawana faida na wewe, au mazingira yao hayakufaidishi . Sio kwa ubaya but you should create a better environment
Unataka kujenga nyumba, basi tembelea hata kwa waliojenga ili upate ushauri, you never know unaeza hata okota msumari wa kugongea bati, tembela ofisi za wachora ramani waulize how can I do this or that, nigga ni bure.
Unataka kumilliki kiwanda, and still hujui hata mashine zinazofaa kiwandani, how does they operate, oyaa, omba hata kutembelea kiwanda cha biskuti ili ujifunze how do they do such things.
Kila siku una lalamika ohh kuna watu hawanipendi au wananibania nisifanikiwe, hivi unajua mtaa, kijiji, wilaya au mkoa au nchi unayokaa kuna watu wangapi?
Ndugu ukiona unabaniwa, basi tafuta sehemu mpya utakayo kubalika kwani we ni Kama bidhaa hivyo naamini soko jipya linakusubiri.
Unasema wewe ni bora lakini kila mara uko pale pale, bro hivi unawafahamu mashujaa wa kweli wewe? Watu walitoka wakaenda vitani, kina Socrates, Newton hawakuwa na hata muda wa kunyoa nywele but a damn person like you unaona haya kwenda kujipambania kwa pumzi yote.
Wekeza ndani yako, hakuna uwekezaji ulio bora zaidi ya kuwekeza ndani yakoo, yaani unajipa thamani wewe mwenyewe. Mfano unajifunza hata jinsi ya kuongea vizuri.
Usilete ujuaji, kuna watu ukiwapa nafasi hata ya kujielezea kwa kifupi unaweza ukacheka sana au kushika kichwa kwa aibu.
Fanya hata mazoezi ya kupunguza uzito, inaweza kusaidia siku ukikutana na vibaka. Jifunze hata kusalimia watu, kwani hicho kiburi ulichonacho siku ukikosea njia na uliwapita kimya waswahili basi utajua haujui.
Jiandae kuwa tayari, sio kila siku una ndoto za kuwa bilionea, muigizaji, daktari, mzazi lakini cha kushangaza hujawai hata kujipa muda wa kutathimini au kufikiri siku ukipata nafasi hiyo itakuwajee.
Hebu siku amka ukatembee ili uone watu wanavovaa kama CEO au mfanyakazi wa ofisi fulani and utaona the difference with the picture unayowaza kila siku.
Coz you don't give a shit about it, ila nakujulisha unapaswa ujiandae kifikra na kimwili ili kuchukua hatua dhidi ya majukumu makubwa.
It's too much pain and it's hurts, ask your self what you did or gained since you came to earth, are you making it better or worse?
I am great to the people who will listen to this;
Mafian cartel, Bantu Lady, Carlos The Jackal, CONTROLA, Le professel, leadermoe, Poor Brain, Dahan, Mwachiluwi, Mshana Jr, Cha ukorofiii Lovelovie, sister mawigi Antonnia, big bro Analyse, mzee wangu wa heshima wao ni wao, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mwizi anayechipukia National Anthem, Iceberg9 Mafian cartel

- Nuksi na mikosi.
- Hupoteza nguvu za mwili.
- Hupoteza pesa na muda muhimu.

- I am stupid to the people who ain't giving a shit.
- I am a hevel to the people who believe in this gift.
- I am Intelligent businessman, and I pray may we all have peace and stay blessed by God.