Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #21
Unapuliza na kutafuna, yaani unanisifia huku bado unaniita kichaaa🤪🤐Point 👌👌👌👌!
Ukituliga unakua na akili sana kichaa ake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapuliza na kutafuna, yaani unanisifia huku bado unaniita kichaaa🤪🤐Point 👌👌👌👌!
Ukituliga unakua na akili sana kichaa ake!
Hio ni a.k.a yako😎Unapuliza na kutafuna, yaani unanisifia huku bado unaniita kichaaa🤪🤐
Hizi bangi zenu aiseeMadam Bantu Lady i gatchyu.. 😂😂😂
Thanks for appreciating, ila tambua vingi ninavyosema huwa naviishi kaka.Mkuu, uliisoma sehemu hii topic ukaja nayo nzima nzima?
Au ni mawazo yako tu ya busara umeamua leo kutufundisha?
Lakini je yanatoka katika oblongata ya mtu mwenye umri gani?
Kama ni mzee, naweza nikakupa hongera kwa tafakuri iliyo njema, ni madini yanayoweza kusaidia kizazi kijacho.
Lakini kama ni kijana, nitasema wewe ni mwalimu wa nadharia tu ambaye hauwezi kuyaishi unayoyafundisha leo, labda waweza kuyatekeleza kwa kiwango cha chini cha mwisho kabisa, tena kwa uangalizi wa watu wengine.
Kwa nini nimesema hivyo?
Kwa uzoefu wangu, ulivyoanza kulaani ngono zembe tu, nikakunasa na kukunasa!
Hii ilishaga kuwa ni filosofi ama catch word ya kutumia ma lecturer wanapotoa lacture zao lazima waanze kwanza kulaani uzinzi na starehe zingine ili kuivuta attention ya hadhira!
Lazima uelewe kwamba, mambo hayo ya uzinzi na pombe ni starehe za majority wenye kila aina ya daraja la maisha.
Na kwa vile wengi tunaishi katika jamii ya kinafiki, mambo hayo hufanywa kwa kificho kikubwa sana.
Si kweli kwamba kila afanyaye hayo ni lofa na nimaskini asiyefikia malengo yake ya mafanikio, hapana, ni uongo.
Hivyo unapotoa lacture zako, ni vema mambo hayo ukayaelezea kwa namna ya staha itakayowafurahisha rika zote, maskini na matajiri kwa kuwa jamii nzima imeegemea kufanya matendo hayo kwa uwazi ama kwa kificho.
Na kingine mnachofeli ninyi wahadhiri, kuyapenda na kuyahusudu mambo hayo hayo ambayo ninyi mnayalaani na kuwaasa jamii waachane nayo kwa mustakabali wa ustawi wao.
Mkuu, umeandika vyema Uzi wako. Kiukweli ukiondoa makaburi, kitu kingine kinachoongoza kwa kuzika ndoto za watu wengi ni Mapenzi. Yanarudisha nyuma sana sometime.Soma hata vitabu, angalia hata documentary za matajirii, acha au punguza watu ambao hawana faida na wewe, au mazingira yao hayakufaidishi . Sio kwa ubaya but you should create a better environment
Mmh wengi wao siku hizi matapeli na hata ukipata mkweli dawa hazina nguvu yake ile ya asili miti imechakachuliwa na ardhi imenajisiwa mnoI appreciate this bro, sema bro Mshana Jr hauna konection ya tabibu wa asili manaa Kuna majanga ya kiafya yamegoma kutibika hospital [emoji120][emoji120]
umemaliza mzee😂Mkuu, uliisoma sehemu hii topic ukaja nayo nzima nzima?
Au ni mawazo yako tu ya busara umeamua leo kutufundisha?
Lakini je yanatoka katika oblongata ya mtu mwenye umri gani?
Kama ni mzee, naweza nikakupa hongera kwa tafakuri iliyo njema, ni madini yanayoweza kusaidia kizazi kijacho.
Lakini kama ni kijana, nitasema wewe ni mwalimu wa nadharia tu ambaye hauwezi kuyaishi unayoyafundisha leo, labda waweza kuyatekeleza kwa kiwango cha chini na cha mwisho kabisa, tena kwa uangalizi wa watu wengine.
Kwa nini nimesema hivyo?
Kwa uzoefu wangu, ulivyoanza kulaani ngono zembe tu, nikakunasa na kukunasa!
Hii ilishaga kuwa ni filosofi ama catch word ya kutumiwa na ma lecturer wanapotoa lacture zao, huwa lazima waanze kwanza kulaani uzinzi na starehe zingine ili kuivuta attention ya hadhira!
Lazima uelewe kwamba, mambo hayo ya uzinzi na pombe ni starehe za majority wenye kila aina ya daraja la maisha.
Na kwa vile wengi tunaishi katika jamii ya kinafiki, mambo hayo hufanywa kwa kificho kikubwa sana.
Si kweli kwamba kila afanyaye hayo ni lofa na nimaskini asiyefikia malengo yake ya mafanikio, hapana, ni uongo.
Hivyo unapotoa lactures zako, ni vema mambo hayo ukayaelezea kwa namna ya staha kubwa itakayowafurahisha rika zote, maskini na matajiri kwa kuwa jamii nzima huishi kwa kufanya matendo hayo kwa uwazi ama kwa kificho.
Na kingine mnachofeli ninyi wahadhiri, huwa ni kupenda kuyafanya na kuyahusudu mambo hayo hayo ambayo ninyi mnayalaani na kuwaasa jamii waachane nayo kwa mustakabali wa ustawi wao.