Muda wa hatua ya mabadiliko ni sasa

Muda wa hatua ya mabadiliko ni sasa

1. Vijana tumekoswa Ubunifu katika shughuli zetu za kila siku, tunafanya kazi/biashara kwa mazoea kama waliotutangulia.

2. Utafutaji wetu umelenga mafanikio au utajiri mkubwa. Tumekosa dira ya kutuongoza ili kufikia malengo yetu, bali tunahangaishwa na dhana ya utajiri ndani ya fikra zetu.

3. Lakini pia aina ya marafiki wanaotuzunguka si wale wenye kukuvusha kutoka ulipo kwenda hatua nyingine. Hawa napenda kuwaita marafiki wasiokuwa na faida. Aheri ukawa na marafiki wawili lakini wawe ni wenye mtazamo wa kufanana na wewe.

4. Cha mwisho, hatupigi hatua maana matumizi yetu binafsi yamekuwa ni chanzo kingine cha kuporomoka kiuchumi. Kila upatapo faida katika biashara au mshahara wako unakuwa ni mtu wa kushinda bar ama na starehe zingine zisizofaa. Inabidi tuwe na nidhamu kubwa ya pesa, tupunguze matumizi yasiyo rasmi.

Usimnunie mtu, Maisha umeyakosea mwenyewe.
 
Asante mkuu, we ni moja Kati ya watu wenye ufikiriaji mzuri na uthubutu🙏.
 
FB_IMG_16915191066990943.jpg
 
Back
Top Bottom