Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

Sure, sasa wewe unafika chap hata hamjaanza kuongea unarukia k, sasa demu atapata wapi intimacy! Ugwadu unawaponza wengi
Lakini kuna wanawake pia wana tatizo la nguvu za kike, hawa ni pasua kichwa na shida hawajui kama wao ndio wenye tatizo.

Piga romance zote, piga deki fanya yote lenyewe linasikia utamu tu, kumkojoza uwe serious na huo uchi otherwise atakuectia tu kama amekojowa kumbe wala anakuridhisha wewe tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa dkk 7 tayari ashafika mawenzi, mbona hata viuno na manjonjo nakua bado sijaoneshaa?

Aaah wee sikubali!!
Yani mimi pale unapomfikisha mwanamkw kileleni anatoa sauti flani hivi ya kipekee yowe si yowe ukunga si ukunga yani uchungu mtamu huku akitupatupa mikono hovyohovyo. Naam hapo ndo ukamilifu wa uumbaji wa Mungu unajidhihirisha waziwazi.

Acheni Mungu aitwe Mungu.

A masterpiece from the master himself!

Sirgodi maamae
 
FB_IMG_1711632154119.jpg
 
Lakini kuna wanawake pia wana tatizo la nguvu za kike, hawa ni pasua kichwa na shida hawajui kama wao ndio wenye tatizo.

Piga romance zote, piga deki fanya yote lenyewe linasikia utamu tu, kumkojoza uwe serious na huo uchi otherwise atakuectia tu kama amekojowa kumbe wala anakuridhisha wewe tu.
Kweli kuna mademu tyr washa expire hilo sikatai, it depends na demu, ila atleast kwa mwanaume kutomaliza mapema you need to take each step with ease. Sio unakurupuka tu. Aki act atajua mwenyewe kikubwa nimeridhika na nimeenjoy na nimetuima muda mkubwa pia.
 
Nilikua nje nawasikia mnaongea upuusi puusi humu ndani,mmekosa kasi sa kufanya nyie fijana wa hofyo?

Haya sasa Haya ni mambo gani ya kuwongelea mbele sa watoto wadogo hamuoni kama watagotoha na kupata baridi?

Alaaa!
 
Kweli kuna mademu tyr washa expire hilo sikatai, it depends na demu, ila atleast kwa mwanaume kutomaliza mapema you need to take each step with ease. Sio unakurupuka tu. Aki act atajua mwenyewe kikubwa nimeridhika na nimeenjoy na nimetuima muda mkubwa pia.
Wala siyo swala la kuexpire, wengi wamekalili upungufu wa nguvu za kiume, kumbe kuna upungufu wa nguvu za kike pia.
 
Yani mimi pale unapomfikisha mwanamkw kileleni anatoa sauti flani hivi ya kipekee yowe si yowe ukunga si ukunga yani uchungu mtamu huku akitupatupa mikono hovyohovyo. Naam hapo ndo ukamilifu wa uumbaji wa Mungu unajidhihirisha waziwazi.

Acheni Mungu aitwe Mungu.

A masterpiece from the master himself!

Sirgodi maamae
Kumekuchaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha hahaha cheka sana.

Baraza Maghayo anakusalimia
Hahaha mwambie Maghayo nipo nausubiri Ulanzi hapa kwenye kilabu cha mkangafu winywa hilawo huku mafinga ndani ndani maana nataka nifanye investment ya kufa mtu soon
Ulanzi super gin utaingia town daslam na maskini wa buza walewe kwa lita Moja!
 
Is all about romance, ke akishaandaliwa vyema wala hana shida, yani mnaingia nyavuni kama Aziz Ki tu
Braza kuna wale utaruka na kumaliza sarakasi zote yeye wala, hao watakuwa na tatizo gani? Wakati huo kuna wale ukifanya kama ulivyoeleza hapo ni kama kunywa maji tu, kazi ni chaap tu.
 
Back
Top Bottom