Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

Braza hapo inakua ni mixture ya nyege na shida.....sio lengo kula nauli
FB_IMG_1714632022681.jpg
 
Naona tatizo la nguvu za kiume linazidi na sasa mnakuja na nyuzi za kujitetea,kiukweli hali ni mbaya sana kwa sasa nadhani life style especially vyakula inachangia pakubwa
 
Dakika 7 ni kwa mtu asiye na afya, bonge na mwenye kitambi. Dk 2 ni kwa wanyama kama mbuzi. Dk 20 na 30 ni kwa vijana chini ya 18.

Ila technically kwa mtu mzima mwenye afya inatakiwa iwe masaa 3 mpaka 7. Scientifically proven.
 
Nadhani unaongelea first round naweza kukubaliana na wewe, lakini mtu ambaye uko under 50 hata ukikojowa kwa muda huo bado unapaswa kuwa na nguvu za kuendelea na kazi mpaka second part naye akojowe.

Then from there mkirudi kwenye game no excuse unatakiwa upige mzigo mtoto wa kike ajuwe yupo na dume la mbegu.

Vitu vyote vya kufanya ili mwanaume uwe na nguvu vimeshaelezwa sana siwezi kurudia, ukishindwa kufuata utaratibu wa lishe na mazoezi basi tumia bapa la Konyagi ili damu ichemke, halitokuvunjia heshima, mziki wake ni kama watumia vumbi.
Huo ndio muda wa kawaida ambao ni normal
 
Dakika 7 ni kwa mtu asiye na afya, bonge na mwenye kitambi. Dk 2 ni kwa wanyama kama mbuzi. Dk 20 na 30 ni kwa vijana chini ya 18.

Ila technically kwa mtu mzima mwenye afya inatakiwa iwe masaa 3 mpaka 7. Scientifically proven.
Masaa matatu hahahaha
 
Back
Top Bottom