Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

Naona tatizo la nguvu za kiume linazidi na sasa mnakuja na nyuzi za kujitetea,kiukweli hali ni mbaya sana kwa sasa nadhani life style especially vyakula inachangia pakubwa
 
Dakika 7 ni kwa mtu asiye na afya, bonge na mwenye kitambi. Dk 2 ni kwa wanyama kama mbuzi. Dk 20 na 30 ni kwa vijana chini ya 18.

Ila technically kwa mtu mzima mwenye afya inatakiwa iwe masaa 3 mpaka 7. Scientifically proven.
 
Huo ndio muda wa kawaida ambao ni normal
 
Dakika 7 ni kwa mtu asiye na afya, bonge na mwenye kitambi. Dk 2 ni kwa wanyama kama mbuzi. Dk 20 na 30 ni kwa vijana chini ya 18.

Ila technically kwa mtu mzima mwenye afya inatakiwa iwe masaa 3 mpaka 7. Scientifically proven.
Masaa matatu hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…