Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

Semaa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahsante kwa muongozo mkuu
 
Hii experience unaitowa wapi?
 
Duh!
 
Unaongea na kizazi cha wahuni.Kila kitu kama kwenye sinema.

Unaongea na akina Christina Shusho,hata usemeje,mfumo wa ukahaba ndio umeshika kasi na una watetezi.
Ukiona watu wanaenda gym,kitu cha kwanza ujue wanafikiria sana afya ya ngono.Mengine ni nyongeza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…