Muda wa Kustaafu kwa watumishi wa Umma upitiwe Upya

Mimi ni mwajiriwa na niliomba sana kustaafishwa lakini ofisi imekataa.Nimefanya makosa ya kukusudia ya utoro kazini lakini hawanifukuzi.Katiba inatakiwa ili kuondoa huu ukiritimba.Mtu aache kazi Kwa hiari
 
Mimi ni mwajiriwa na niliomba sana kustaafishwa lakini ofisi imekataa.Nimefanya makosa ya kukusudia ya utoro kazini lakini hawanifukuzi.Katiba inatakiwa ili kuondoa huu ukiritimba.Mtu aache kazi Kwa hiari
Mbona kwenye kipengele cha Sheria ya Utumishi wa Umma imewdka wazi hadi 24 hrs resignation ipo
 
Wakujadili muda wa kustaafu ni hao hao wanaoogopa kuishi nje ya kazi.

Ndugu zangu wote waliostaafu bado wanafanya kazi kwa mikataba.
Unadhani umri wa kustaafu ilikuwaje ulitoka miaka 50, ukaenda 55 na Sasa 60. Hakuna kanuni yoyote ya kisayansi iliyotumika kuweka umri huo?
 
This is crap at its best. Watanzania mbona tunashindwa kutumia hata robo ya bongo zetu? Tatizo la Tanzania ni uongozi wa CCM hauna maono wala mipango na wanakula raha badala ya kuongoza. Mnashangilia matamasha yanayoandaliwa na wakuu wa mikoa halafu mnategemea kupata ajira. Wewe huoni kuwa hata umri wa kustaafu wangeweka uwe miaka 35, siyo suluhisho bali ni kuhamisha tatizo la ajira kwenda kwa wenye umri mkubwa na tena watu wenye experince nzuri?
 
Mimi sipimwi na wewe uliyechangayikiwa.

Kama uko competent nafasi zinatangazwa apply ushindane katika usaili.

Mimi niliingia katika utumishi kwa merit.

Ungekuwa competent ungeishaajiriwa
🤣🤣🤣🤣
 
Pamoja na uongozi mbovu wa CCM’, hoja zangu zipo clear

Utumish kazi zitoke kimkataba, retoremznt age ishushwe

Miaka 55 to 60 unafanya nini Ofisini ?
 
Nilipoona tu hili andishi nilijua ni mtu anayetoa ushauri akiwa nchi za dunia ya kwanza. Yaani ukafanye shughuli zako ndio uwe unaamka saa 2 kisha unakwenda kuangalia maokoto. Unajua wezi walioko hapa? Toa maoni kulingana na uhalisia na sio matamanio yako.
 
Hujaandaa watu sahihi
Wahind wanwezaje
 
Mazee yanaogopa harakati za kujiajiri na kuzalisha mali mitaani ,maana mazingira ni magumu mno na yenyewe ndio yamesababisha hali hii kwa kutengeneza taifa corrupt na lilijoaa umasikini ,hopelessness and destitution kila kona ,halafu yanawatukana vijana kwamba ni wavivu na wajiajiri ,
Pumbavu ,yenyewe mbona yanakalia tu viti vya serikali na makampuni huko bila kujiajiri kama ni rahisi hivyo ?
Umri wa kustaafu uwe miaka 50 , jitu likifikisha miaka 50 litoke lipeleke makalio yake na kitambi huko mitaani kujiajiri .
Na
After all hamna jipya walichofanya ,upuuuzi tu ,ajira na nyadhifa zipo kwa wao kujineemesha na kukalia viti tu kunenepa na kupoteza muda , efficiency zero .
 
Rubbish! Nani kakuaminisha kuwa ubongo unazeeka ukifika 50s! Ebu orodhesha vijana chini ya 45 ambao wamepata Nobel prize!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…