Muda wa Kustaafu kwa watumishi wa Umma upitiwe Upya

Ila wanafanya kwa maslahi ya wananchi kama walivyo watumishi wa umma
Rejea malalamiko ya mleta mada. Yeye hataki kuona mtu anaajiriwa na kuendelea kuwemo katika ajira hadi atakapotimiza miaka 60. Wabunge hawahusiki na hilo sharti, hata wa miaka 30 anaondolewa katika nafasi.
 
Mleta mada una hoja, ila binafsi naona ni hoja dhaifu sana.

Swala la early retirement bado haliwezi kupunguza tatizo la ajira nchini, zaidi sana litaiongezea serikali mzigo wa kulipa pension kwa wastaafu. Imagine mtu anasataafu akiwa 48, life expectancy ni 65yrs, serikali itakuwa inalipa huyu mtu kwa miaka karibia 20, unadhani itaweza?

Serikali ije na mikakati ya kutengeneza ajira, kutengeneza ajira kwenye sekta binafsi, lakini iandae wahitimu katika kujiajiri, population growth inafanya nchi nyingi zishindwe kutoa huduma kwa watu wake. Huko nchi nyingi za ulaya kuna uhaba wa nguvu kazi kwa sababu hawazaliani, huwezi kufanananisha na Tanzania ambapo idadi ya watu inaongezeka kwa kasi kubwa.
 


Sbb ww ni Doctor wa binadamu, unaamua kutoa maoni yako doctors ndio wakae muda mrefu kazini, wengine muda mfupi, you are hopeless, you are being driven by conflict of interest, nothing else…!! You have poor IQ ingawa uko Canada, kaa huko huko hatutaki your poor advice..!! Kwenda usitulee mambo ya Canada hapa..!! Nasty..!!
 
Tatizo lenu mnaojiita wasomi ni wasomi uchwara. Tangu vyuo vikuu vitapakae km uyoga wahitimu wenye uelewa wamepungua sn.

Km suala ni kuajiliwa, kwa nini usiishauri serikali ipunguze idadi ya udahili ili hao wachache wanaomaliza wote waajiriwe. Na hapo ungeona km hata chuo km ungepata. Ndo maana wakati mimi nasoma vyuo vikuu vilikuwa 2 tu, UDSM (cha serikali) na ST AUGUSTINO (cha private) na 99% waliomaliza waliajiliwa serikalini wote. Vyuo vingine km Mzumbe walikuwa wanatoa diploma na adv diploma. Sasa vipi msomi unaelilia ajila ili wengine wakose, unaonaj turudi huko.

Naona wewe ungekuwa malaika mtoa roho za watu ungeua watumishi wote ili serikali itoe ajira upya na wewe upate.

Mnaolilia ajira, nje ya vyeti vyenu vyenye ufaulu wa mchongo, kichwani mna nini. Wengi wenu ni empty CD wakati vyeti vinaonesha ufaulu wa kutisha. Ndo maan serikali ikabaini hili na kuweka interview kwa sasa karibu kila idara ili mpitiwe upya na majopo ya waliosoma bila blaa blaa na drama za kisiasa. Cha ajabu mkiambiwa kuajiliwa hadi upasi interview mnaanza kulia. Hivi km mtu ulisoma kwa akili zako unaogopa interview ya nini, mbona hamkatai mitihani mnayopewa huko mashuleni na vyuoni. Huu ni ushahidi kuwa wengi wenu mna ufaulu wa ujanja ujanja. Ebu fikiria kipindi ktk wilaya sekondari ni moja na mnafaulu msiozidi 5, hapo huyo ataogopaj interview. Watu walikuwa vichwa, tena wenye umri mkubwa wanaojitambua.

Hivi unajua matokeo ya kurudisha nyuma umri wa kustaafu. Hapo serikali itakuwa na mzigo mkubwa sn wa kutoa mafao, na gharama kubwa ya kuajili wapya. Rejea marekebisho ya kikokotoo, na matokeo ya ukosefu wa pesa kwa wastaafu.

Kumuombea mwenzio astaafu kwa umri wa miaka 50 ni sawa na kusema umri wa Mtanzania kuishi umepungua. Je unajua kwa nini ma profesa waliongezwa muda hadi miaka 70? It means umri wa Mtanzania kuishi upo juu sn. Miaka 50 bado ni kijana sn. Hata wanaostafu sasa kwa miaka 60 bado wanaondoka wakiwa na nguvu sn. Msipende kulinganusha ajira za nchi flani hasa za magharibi na Africa hasa Tz. Mfano huko wenzetu wanasheria ya ndoa ya mkataba, je unataka na sisi iwe hivyo ili kila mwanamke aonje radha ya kuolewa. Wamehalalisha ushoga na huku napo unataka iwe hivyo.

Km suala ni umri wa ajira mbona kwenye vyombo vya ulinzi na usalama wapo wanaostaaf wakiwa na 45 yrs na wengine 50 yrs kulingana na cheo ulichonacho, vipi huko nako umekosa au na wao wapunguziwe hadi miaka 35 ili upate.

Tatizo vijana wa sasa ubishoo mwingi. Hampendi kufanya kazi za juani kisa mmesoma. Hiyo ilikuwa ni enzi ya zamani kuwa ukishasoma tena umefika level ya chuo kikuu basi wewe ni kipanga kweli kweli na kote unapopita ni zaidi ya malikia au mfalume. Km umetokea kijijini ulikuwa ukirudi likizo Kijiji kizima kinajua na wa wasichana wote walikuwa wanadata, ulikuwa na uwezo wa kuoa vibinti Kijiji kizima bila kukataa. Sasa hivi ni tofauti, degree huko vijijini zimejaa, advance wamejaa, form four kila nyumba ina mhitimu. Sasa nyie mkitembea na upepo wa miaka ya 70, 80, 90, na 2000-2005 mtazeekea nyumbani. Miaka hiyo yote almost 80% ya wahitimu kuanzia sec hadi vyuo walipata ajira, hata darasa la 7 waliajiliwa km madreva na kwenye vyombo vya usalama.

NB
Hatuwezi kutatua tatizo kwa kutengeneza tatizo, just suggest reasonable solutions for combating the situation not to evacuate others from their positions.This is not healthy solution.

Halafu bwana mdogo hizi ajira hasa za mishahara ya "kwa mjibu wa utumishi wa umma" utakuwa na moto na kazi kw muda mfupi tu then utarudi hapa kulia kuongezwa mshahara. Sema kwa vile hauna kwa sasa ndo maan mna mapepe. Huoni wengine wanaacha kazi serikalini wanapenda kujiajiri!

Said: BANDOKITITA
 
Mimi sipimwi na wewe uliyechangayikiwa.

Kama uko competent nafasi zinatangazwa apply ushindane katika usaili.

Mimi niliingia katika utumishi kwa merit.

Ungekuwa competent ungeishaajiriwa
🤣🤣🤣 ubafanya kazi wapi kwanza tuanzie hapo. Kama unafanya kazi chini ya Utumishi, huwezi kuwa na competency yoyote ya Maaana, trust me !

Na ukija kwenye intern. Companies utanielewa. Punguza maneno kwenye ishu ya competency mzee

Niajiriwe na nani , Utumishi 🤣🤣🤣
 
Sasa unalalamika nini

Exposure yangu huwezi kuifikia
 
🤣🤣🤣 Mjombq upo around 50 nini 🤣🤣🤣

Well , ni kuajiri sio kuajili, mbona unaongea kama vile upo kwenye 25s mkuu

Usipanic, tujifunze ku accomodate mawazo mmbadala. Usiwe dictator.

Kuhusu interview za Utumishi binafsi sizichukulii kama ni interview nachukulia kama mahojiano na blah blah ….. hakuna competency inayopimwq kwenye interview za utumishi. Ukija kufanya interview za international organisation utanielewa. Interview za utumishi unafanyishwa maswqli kama bado upo shule na sio kama unaendq kufanya kazi, nilishawahi kufanya ya NHIF na hapo Ocean Road, zote nilipata and I opted.

WHO walinipiga Interview 3 , written’moja, oral moja na capacity intelligence moja.

Hiyo written ni aptitude test na general attitude yake, Interview ya pili ni Oral, ndio utaulizwa technical questions. Interview ya 3 …. Mnaingia kwenye hall mnakutana na Computer tu , no internet, only PC na PPT blank , unapewq case , utoe strategies, plan na solution… only 5 slides. Then you have to stand for presentation, 5 min plus na maswali utaulizwa.

Ukichomoka humo unapitishwa kwenye elimination policy inayoenda kupima potency ya communication Skills yako na Office Automation. Ukiingia Ofisini unakutana na watu wenye akili tu. Sio hiyo utumishi yenu ni mnacheza tu, ndio mana hata kuandika kiswahili tu huwezi. Halaf unaniambia interview za utumishi 🤣


Kwanza taasisi nyingi ikiwemo NIMR ilishawahi kuomba waajiri wenyewe maana watu wanaopelekwa na Utumishi hawajui kufanya kazi na hawana uwezo

Fuatilia utajua hilo

Umri wa kustaafu wa lazima uishie 50 , utumishi sio ndoa ya katolic
 
Rubbish! Nani kakuaminisha kuwa ubongo unazeeka ukifika 50s! Ebu orodhesha vijana chini ya 45 ambao wamepata Nobel prize!
Kufanya kazi ndio kupata Noble prize

Nitajie mtumishi aliepata noble prize

Kwanin hamjiamini si unganganie Ofisi ya mzee wako

Why mnataka kufia kwenye Ofisi za Umma
 
Watunga sera hizo ndio hao kina Wasira ambao kuanzia awamu ya kwanza hadi ya 6 yumo tu!

Kuna siku nimemsikia Wasira anasema vijana wajiajiri na kusaka nafasi mshahara mmoja hautoshi ndio maana hata yeye hadi leo yumo serikalini.
 
Rubbish! Nani kakuaminisha kuwa ubongo unazeeka ukifika 50s! Ebu orodhesha vijana chini ya 45 ambao wamepata Nobel prize!
Acha Ujinga
Hakuna gharama. Ingia mtaani acha uoga we mzee
 
Watunga sera hizo ndio hao kina Wasira ambao kuanzia awamu ya kwanza hadi ya 6 yumo tu!

Kuna siku nimemsikia Wasira anasema vijana wajiajiri na kusaka nafasi mshahara mmoja hautoshi ndio maana hata yeye hadi leo yumo serikalini.
Mfano Mzee wasira, anaongzaa nini kwenye hili taifa la utumishi wa Umma!! Ila bado yupo
 
Wahitim wenyewe sasa
 
Wazee ndio facilités kwenye hilo TAIFA

Wapumzike waache vijana sasa. Miaka 50 unafanya nini Ofisini

Hukuweza kufanya kitu in your 30 to 40 , utafanya nini in your 50 to 60 ?

Unaingia Ofisini unakutana na mzee anatumia Computer utasema anadumbukia kwenye madimbwi. Wazee wapo slow

Mambo
Ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…