Muda wa Kustaafu kwa watumishi wa Umma upitiwe Upya

Huko walikostaaribika kwenyewe umri wa kustaafu ni 60+,itakua bongo?
 
Kwa population growth ya 3% hata umri wa kustaafu gani hautamaliza matatizo.
 
Mi nafikiri umri wa kustaafu kwa lazima uwe 70.maana nimehudhuria sherehe nyingi za kuwaaga wastaafu hawa bado vijana kabisa halafu wanatema nondo Tu.
 
Hata wote wakistaafu wenye 40+, tatizo litakuwa palepale. Ajira zote za serikali hazifiki milioji moja, wanaohitaji ajira ni zaidi ya milioni kumi na kila siku wanaongezeka.
 
Ukiajiriwa utakana maandishi yako,anyway unaelewa maana ya seniority katika kazi na faida zake.

Halafu kumbuka wastani umri wa kuishi wa watanzania umeongezeka hivyo nashauri pia serikali iongeze muda wa kustaafu hiyari miaka 60 na lazuma miaka 65.
 
Kinachohitajika ni systenac change. Vitu kama elimu bure za kilimo, ufundi, biashara, ujasilimali kuongezwa.

Jobless wapewe pesa za kujikimu huku wanapewa ujuzi.
 
Ajira hazitengenezi kwa watu kustafu mapema,bali kwa kuwa na uzalishaji ndani ya nchi-viwanda ndio vinavyoajili maamilioni ya watu Duniani kote.Ungana na vijana mpige kelee serikali iwezeshe uanzishwaji wa viwanda.

Huwezi kufanya watu wastafu wakiwa na miaka 50,kiuchumi ni hasara kwa Serikali.Ndio maana unaona nchi nyingi huongeza umri wa watu kustafu hadi 70 na sio kupinguza.

Watanzania tujifunze kusoma na kufuatilia vitu basic,hili lilikuwa hata sio la kuandikia uzi.
 
Na Mimi hoja yangu ni imekuwaje amehusianisha umri na ufanisi. Labda iwe kwenye ukuli.
Kuandaa mtu mzuri ni gharama, yaani yeye anadhani akiwa na bachelor basi ashajua na kuwa mtumishi mzuri
 
Pamoja na uongozi mbovu wa CCM’, hoja zangu zipo clear

Utumish kazi zitoke kimkataba, retoremznt age ishushwe

Miaka 55 to 60 unafanya nini Ofisini ?
Wazo lako ni zuri lakini likiwa implemented as you suggested italeta janga kubwa hasa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo itashindwa kulipa mafao ya watumishi hao ambao watakuwa wamechangia muda mfupi na still wana muda mrefu wa kuishi na kulipwa hivyo viinua mgongo kila mwezi. Leo hii Wastaafu ni wachache lakini bado serikali inasota mpaka wanaintroduce kanuni za vikokotoo ili kusustain find ya mifuko
 
Kufanya kazi ndio kupata Noble prize

Nitajie mtumishi aliepata noble prize

Kwanin hamjiamini si unganganie Ofisi ya mzee wako

Why mnataka kufia kwenye Ofisi za Umma
Kwa sababu baba yako alikuwa kilaza akatimuliwa basi unadhani wote wako hivyo!

Ofisi ni za umma na wazee ni sehemu ya umma!

πŸ•πŸ•πŸ•
 
Mbowe anasema ana biashara nje na ndani ila hataki kuachia ngazi sembuse hawa watumishi ungaunga mwana mtasubiri sana.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kuandaa mtu mzuri ni gharama, yaani yeye anadhani akiwa na bachelor basi ashajua na kuwa mtumishi mzuri
Kwenye utumishi wa Umma unaandaliwa na nini 🧐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…