Muda wa Kustaafu kwa watumishi wa Umma upitiwe Upya

Ukiajiriwa utakana maandishi yako,anyway unaelewa maana ya seniority katika kazi na faida zake.

Halafu kumbuka wastani umri wa kuishi wa watanzania umeongezeka hivyo nashauri pia serikali iongeze muda wa kustaafu hiyari miaka 60 na lazuma miaka 65.
🤣🤣🤣 akili imelala
 
Unaongelea mbali Rudi nyumbani alafu uangalia hizo payment,kumbuka watumishi.wengi ni zao la wanakijiji,so mjini wamekuja kimkanda anapata elimu late na anaanza familia na mshahara kiduchu hana nyumba hana hiki wala kile,anakutana na mwanamke wa ukubwani kazi yake kuosha kucha my friend utajuta
 
Mimi ni mwajiriwa na niliomba sana kustaafishwa lakini ofisi imekataa.Nimefanya makosa ya kukusudia ya utoro kazini lakini hawanifukuzi.Katiba inatakiwa ili kuondoa huu ukiritimba.Mtu aache kazi Kwa hiari
Bila shaka ww ni jewii ?
 
Uwe miaka 65 badala ya kupungua
 
Huyo atakuwa alikuwa baba yako, wazee wengi wapo smart!
 
Ni kama andiko lako lina point lakini umesahau vijana wa siku hizi mnataka mafanikio ya ghafla,wazee hao wastaafu wa miaka 60 miradi yao inakufa sababu wanaajiri vijana wakidhani mtafanya kazi,badala yake mnampiga mtaji wote unaisha nyote mnakuwa maskini mwajiri na mwajiriwa.

Ningetarajia utoe rai,kwamba umri ulioainishwa kustaafu ambao ni miaka 60,watu wastaafu iwe ni siasa au kazi za kawaida,ili kuwapisha vijana waajiriwe na kujenga mitaji pale inapobidi.
 
Agreed! Hiyo kustaafu kwa lazima iwe 50. Na uwe hivyo kwa nafasi zoooote kuanzia urais. Pia mishahara iboreshwe na huduma za mikopo ziwe za riba nafuu
 
Wew utakuwa mzee, tena wa ovyo. Walioharibu hii nchi ni wazee.
 
Miaka 45 bado mingi. Mtu akifanya kazi miaka 15 tu serikalini aruhusiwe kustaafu na kupewa pension yake yote kama wanavyofanyiwa wabunge.
 
Taahira wewe , nilivyoona tu hiyo avatar yako nikajua huna ubongo ,bali mavi ya ng'ombe kwenye hilo fuvu lako
 
Kifupi hujui gharama za kutunza wastaafu....mtu astaafu na 45 halafu umtunze na pension mpaka uzeeni!
Pension my ass , mtu analipwa alicho contribute basi ,kwani haiwezekani kufanya reform ,kama watu wanafanya kazi private sector na wanalipwa mafao yao baada ya kustaafu na kutembea ,kwanini serikali isi adopt mfumo huo na kuachana na huu upuuzi wa kuendelea kulipa watu hivyo vimafao uchwara vya kila mwezi kwa watumishi wa serikali ? ,kwani hawa wafanyakazi wa private sector wao sio binadamu ,au hawa vilaza wa serikalini wao wana uthamani gani zaidi ya hawa wafanyakazi wa private sector ?
Acheni kuwa vilaza na kukariri tu mambo bila kuwa na akili dynamic ya kuweza kubuni vitu na kuleta reforms za matokeo chanya
 
Wew utakuwa mzee, tena wa ovyo. Walioharibu hii nchi ni wazee.
Ndo mnataka muachiwe kila kitu pindi mkitoka vyuoni.
 
Wewe fala unayeandika huu upuuzi umejiajiri kwenye shughuli gani na ukipata ufaulu gani ?
Takataka kabisa
Dumb fool !

Maandishi mengi ,logic na facts Hamna ,mavi mavi tu
Pumbavu ,kama na wewe ni muajiriwa wa serikali basi ndio maana CAG aliwahi sema serikali ina asilimia 80 ya majitu yasiyo na akili ,ufanisi wala common sense ,wewe uko kwenye hilo kundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…