Muda wa kusubiri kabla ya kutuma ujumbe mwingine, unaghadhibisha. JF ifanyieni kazi

Muda wa kusubiri kabla ya kutuma ujumbe mwingine, unaghadhibisha. JF ifanyieni kazi

Page 94

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
5,204
Reaction score
15,207
Wasalaam Wakuu.

Umewahi kufanya mawasiliano na Mtu (PM) au kwenye uzi wa kawaida kisha ukishaandika na kutuma inakupasa usubiri ndani ya muda fulani?
Screenshot_20230129-132419.jpg


Nawapongeza uongozi na watumishi wote wa JF kwa kazi nzuri na ngumu wanayoifanya. Kwa hakika wanajitahidi mno.

Lakini pamoja na hilo, kuna hili swala la kusubiri kabla ya kutuma ujumbe mwingine ambayo huchukua takribani sekunde 10 au zaidi. Swala hili linashusha mood ya mhusika kuandika ama kuwasiliana na mwenzake.

Naomba swala hili lifanyiwe kazi ili tuweze kutuma ujumbe mwingine papo hapo walau baada ya sekunde moja au mbili. Kusubiri sekunde nyingi kunapoteza sana muda.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom