mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Ni sheria zipi zinazosimamia saa kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano ya Kazi ya mwaka 2004, muda wa kazi Tanzania ni masaa nane na Kiwango cha juu cha muda wa kufanya kazi kwa siku kilichoelezwa na sheria
ni masaa tisa (9) kwa siku. Pamoja na kutamkwa na sheria kuna kazi na ajira hazihitaji hayo masaa na sababu za kutohitaji hayo masaa ni kwa sababu zifuatazo
1. Mabadiliko ya science and technology, innovations za mashine zimebadilika kwa kiasi kikubwa kazi nyingi zilizokuwa zinafanywa kwa mikono na matokeo yake muda wa kufanya kazi hizo umepungua na kufanya zifanywe kwa masaa machache na hivyo kumfanya mwajiriwa kuwepo tu kituo cha kazi na kupiga majungu.
2. Ongezeko la changamoto za usafiri linafanya wafanyakazi wengi kupoteza muda na fedha kusafiri kwenda makazini na kurudi majumbani mwao (Serikali ya CCM imeshindwa kujenga makazi kwa ajili ya wafanyakazi wake hivyo wengi kulazimika kutoka majumbani kwao ambako ni mbali na kazini kwao) so badala ya Serikali kuishi kwa mazoea nadhani ingefanya uchanganifu sahihi kujua ni kazi zipi zinahitaji masaa mengi na zipi zinahitaji masaa machache ili watumishi wafanye kazi inayoendana na muda.
Niambie kuna sababu gani mwalimu kutoka asubuhi hadi jioni kushinda maeneo ya shule wakati ana kipindi kimoja au vitatu tu kwa siku ambavyo angefanya hadi saa sita muda ungetosha na engendelea kufanya kazi zake binafsi ambazo ni productive kwake na kwa taifa.
Mimi nimekuwa nikigombana sana na wakuu wa shule kwa sababu ya kuondoka mapema, huwa naona ni heri niende kwenye shughuli nyingine nikafanye kuliko kushinda shule huku sina kazi ya kufanya, asilimia kubwa ya walimu wanabaki shule kupiga majungu tu nadhani nurse, mtendaji, watu wa mifugo , kilimo , wangepunguziwa muda wa kazi tu.