Muda wa 'Shujaa Feki' wa Uokoaji Majaliwa Jackson na aliyemsifia 'Samjo Samjo' WM Kassim Majaliwa 'Kuumbuka' Unakaribia

We si mrundi huo utanzania umeupata wapi
 
Je ni nani aliyemtaja huyo Majaliwa kwa waliowengi kuwa alifanya yanayotajwa?
Je ni nani alikwenda kumtoa hospitali alikolazwa baada ya kupoteza fahamu na kumlete mkutanoni?
Tunaambiwa alipigwa na kitu kizito usoni, je, baada ya hapo waliobakia hawakuendelea na uokoaji?
Je walio take cover baada ya Ma J kuzirahi walifanya nini kibaya hata mchango wao usitambuliwe?
Je mashuhuda wote waliokuwepo walishindwa nini kupinga kutajwa kwake hadharani?
Je Majaliwa Jack na Majaliwa Kass walifahamiana kabla ya siku ya tukio?
 
Tusimlaumu sana majaliwa kwa kuzingatia yeye si mtalaam huenda wakati ndani wanajarbu kufungua yeye naye aliugonga huo mlango. Hivo wakati unafunguka aliamini yeye ndo kafungua. Kimsingi Majaliwa pamoja na yote pamoja ni shujaa tu kwa sababu alihatarisha maisha yake kwa faida ya wengine. Jiulize kwa nini alizimia na kupelekwa hospital?
 
Uko sahih kbsa kitendo tu cha kuwepo kwenye tukio ni ushujaa haswa
 
Kabla sijajiunga jf rasm nilikuwa nakuona bonge la mtu kumbe wwe ni mjinga kias hiki kumbe
 
Muacheni kijana wawatu bana , mbona mnakua na roho mbaya hivyo
 
Uzuri wa hii nchi ikiwapendeza raia majaliwa anaweza kuwa kama mandonga. Akipiga kapiga, akipigwa kapiga. Anatokea mtu na ripoti ya kumharibia, jamii inampa airtime ya utapeli pesa zinaendelea kuingia.
 
Nadhani wote mnaikumbuka ajali ya kivuko cha mv Ukara, kuna kijana Anaitwa Husseni yupo hapa Mwanza Mwaloni kirumba alifanya kazi kubwa sana ya uokoaji na serikali kupitia Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa waliahidi kumpa nyumba na usafiri lakini hadi leo jamaa hata baiskeli hakupewa na yupo hapa Kirumba mwaloni akibeba mizigo, serikali hii Mungu anawaona
 
Kabisa kabisa sema RC Chalamila alitakiwa kuhoja waliohusika kwenye zoezi la uokoaji hata kama nusu yao kuona jinsi gani ya kuwashukuru kuliko yeye kuteua mmoja. iinavunja moyo!!!
 
Ripoti imetoka nusu na Hakuna sehemu Majaliwa ametajwa tusubiri huko mbeleni kuona character aliyocheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…