nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Naona unamuandamana sana Katelephone, kulikoni bwana GENTAMYCINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We si mrundi huo utanzania umeupata wapiBaadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja Kuwaokoa Wote hakuwa Tapeli ( Samjo ) Majaliwa Jackson kama Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alivyoendelea na Utamaduni wake 'Maalum' aliojiwekea wa Kutudanganya Kunakotukuka Watanzania kama ule wa Tukio Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021.
Taarifa za Awali na zenye uhakika kutoka kwa Wajumbe ambao pia ni Wabobezi wa Uchunguzi hasa wa Masuala ya Aviation zinasema kwamba Wavuvi wote kwa Ujumla wao ndiyo walisaidia katika Kuokoa na Kuwavusha Abiria hadi Ufukweni na Samjo ( Tapeli ) Majaliwa Jackson ( Muokoaji wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ) hakuokoa pekee na wala hakupiga hizo Mbizi hadi kule chini iliko Cockpit ya Ndege na Kuonana na Marubani ambao walimpungia Mikono.
Muda wa Muongo Mkuu wa Taifa la Tanzania Premier Majaliwa na Msaidizi wake RC wa Kagera Chalamila Kuumbuka kuhusu kututeulia huyo Muokoaji Muongo Muongo ( Samjo Samjo ) Majaliwa Jackson unakaribia na msisahau kuwa Wanadamu tutadanganya ila Teknolojia na Uhalisia kamwe huwa havidanganyi.
Wale mnaoniuliza kwanini GENTAMYCINE namuandama mno Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa Kassim na simkubali Muokoaji Majaliwa Jackson majibu yenu ni haya yafuatayo.....
Niulizieni Kwake alifikiria nini na alituonaje Watanzania mpaka Kutudanganya vile kuwa Mtu ni mzima na anachapa zake Kazi Magogoni Ofisini wakati kumbe tayari alikuwa katika Friji ya Awali ya Mzena kabla ya kuhamishiwa katika ile iliyojengwa kwa Msaada wa Marafiki zetu Wajerumani ( Maalum na ya Kisasa ) iliyoko Lugalo ndani ya Chuo chao cha Tiba?
Kwa huyu Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) Muokoaji Majaliwa Jackson naomba niulizieni Kwake je, alipozama chini ya Maji hadi kwenda Kuwasabahi ( Kuwasalimia ) Marubani waliompungia mkono aliwakuwa Hai au tayari Wameshatuaga Kidunia?
Kubwa zaidi niulizieni Kwake Tapeli Tapeli ( Samjo Samjo ) Muokoaji Majaliwa Jackson kuwa ni kwanini 99% ya Wavuvi Wenzake kila Wakihojiwa kuhusu Yeye kufanya Uokoaji huo ambao Watanzania tumedanganywa na Mdanganyaji Mkuu wa Taifa ( Premier Wetu ) wote Wanamkana na sasa wameenda mbali zaidi Kuhoji iweje awe Yeye pekee wakati kama ni Zoezi zima la Uokoaji limefanyika kwa pamoja na tena wako wengine waliojitoa Mhanga zaidi yake pale katika Maji yale ( ilipoangukia Ndege ) lakini wala hawana Makuu na Shobo kama Yeye?
Wivu gani mkuu unduWatz kwa wivu hawajambo!
KENGE kweli,. Et walisubiri Kwa dakika nyingi !!.Huna akili, mlango walifungua wahudumu, na hata wahanga walipotoka kwenye ile ndege walisubiri kwa dk nyingi kabla ya kuona mtumbwi wa kwanza.
Je ni nani aliyemtaja huyo Majaliwa kwa waliowengi kuwa alifanya yanayotajwa?wote Wanamkana na sasa wameenda mbali zaidi Kuhoji iweje awe Yeye pekee wakati kama ni Zoezi zima la Uokoaji limefanyika kwa pamoja na tena wako wengine waliojitoa Mhanga zaidi yake pale katika Maji yale ( ilipoangukia Ndege ) lakini wala hawana Makuu na Shobo kama Yeye?
Tusimlaumu sana majaliwa kwa kuzingatia yeye si mtalaam huenda wakati ndani wanajarbu kufungua yeye naye aliugonga huo mlango. Hivo wakati unafunguka aliamini yeye ndo kafungua. Kimsingi Majaliwa pamoja na yote pamoja ni shujaa tu kwa sababu alihatarisha maisha yake kwa faida ya wengine. Jiulize kwa nini alizimia na kupelekwa hospital?Baadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja Kuwaokoa Wote hakuwa Tapeli ( Samjo ) Majaliwa Jackson kama Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alivyoendelea na Utamaduni wake 'Maalum' aliojiwekea wa Kutudanganya Kunakotukuka Watanzania kama ule wa Tukio Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021.
Taarifa za Awali na zenye uhakika kutoka kwa Wajumbe ambao pia ni Wabobezi wa Uchunguzi hasa wa Masuala ya Aviation zinasema kwamba Wavuvi wote kwa Ujumla wao ndiyo walisaidia katika Kuokoa na Kuwavusha Abiria hadi Ufukweni na Samjo ( Tapeli ) Majaliwa Jackson ( Muokoaji wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ) hakuokoa pekee na wala hakupiga hizo Mbizi hadi kule chini iliko Cockpit ya Ndege na Kuonana na Marubani ambao walimpungia Mikono.
Muda wa Muongo Mkuu wa Taifa la Tanzania Premier Majaliwa na Msaidizi wake RC wa Kagera Chalamila Kuumbuka kuhusu kututeulia huyo Muokoaji Muongo Muongo ( Samjo Samjo ) Majaliwa Jackson unakaribia na msisahau kuwa Wanadamu tutadanganya ila Teknolojia na Uhalisia kamwe huwa havidanganyi.
Wale mnaoniuliza kwanini GENTAMYCINE namuandama mno Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa Kassim na simkubali Muokoaji Majaliwa Jackson majibu yenu ni haya yafuatayo.....
Niulizieni Kwake alifikiria nini na alituonaje Watanzania mpaka Kutudanganya vile kuwa Mtu ni mzima na anachapa zake Kazi Magogoni Ofisini wakati kumbe tayari alikuwa katika Friji ya Awali ya Mzena kabla ya kuhamishiwa katika ile iliyojengwa kwa Msaada wa Marafiki zetu Wajerumani ( Maalum na ya Kisasa ) iliyoko Lugalo ndani ya Chuo chao cha Tiba?
Kwa huyu Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) Muokoaji Majaliwa Jackson naomba niulizieni Kwake je, alipozama chini ya Maji hadi kwenda Kuwasabahi ( Kuwasalimia ) Marubani waliompungia mkono aliwakuwa Hai au tayari Wameshatuaga Kidunia?
Kubwa zaidi niulizieni Kwake Tapeli Tapeli ( Samjo Samjo ) Muokoaji Majaliwa Jackson kuwa ni kwanini 99% ya Wavuvi Wenzake kila Wakihojiwa kuhusu Yeye kufanya Uokoaji huo ambao Watanzania tumedanganywa na Mdanganyaji Mkuu wa Taifa ( Premier Wetu ) wote Wanamkana na sasa wameenda mbali zaidi Kuhoji iweje awe Yeye pekee wakati kama ni Zoezi zima la Uokoaji limefanyika kwa pamoja na tena wako wengine waliojitoa Mhanga zaidi yake pale katika Maji yale ( ilipoangukia Ndege ) lakini wala hawana Makuu na Shobo kama Yeye?
Huyo ni Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC tu.Hivi genta haangaliag mechi za nje eeh mbona simuon kwenye uzi wa world cup
Dogo alitengenezwa muzee...ila bado najiuliza,kutudanganya kote kule,NIA yao haswa ilikuwa ni nini?..na huyo dogo akapimwe akili,sio kwa confidence ile..dah
Uko sahih kbsa kitendo tu cha kuwepo kwenye tukio ni ushujaa haswaWhat happen was a coincidence, wakati waliomo ndani ya ndege wakijitahidi kuufungua mlango, the way waliokuwa nje pia walikuwa wanajitahidi kuufungua, ulipofunguka, ikiwa wote wameufungua #wivu wa nini?
Kitendo chake cha kujitoa muhanga na kwenda kwenye tukio kwa dhamira ya kuokoa maisha ya binadamu ni ushujaa tosha.
Kabla sijajiunga jf rasm nilikuwa nakuona bonge la mtu kumbe wwe ni mjinga kias hiki kumbeBaadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja Kuwaokoa Wote hakuwa Tapeli ( Samjo ) Majaliwa Jackson kama Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alivyoendelea na Utamaduni wake 'Maalum' aliojiwekea wa Kutudanganya Kunakotukuka Watanzania kama ule wa Tukio Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021.
Taarifa za Awali na zenye uhakika kutoka kwa Wajumbe ambao pia ni Wabobezi wa Uchunguzi hasa wa Masuala ya Aviation zinasema kwamba Wavuvi wote kwa Ujumla wao ndiyo walisaidia katika Kuokoa na Kuwavusha Abiria hadi Ufukweni na Samjo ( Tapeli ) Majaliwa Jackson ( Muokoaji wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ) hakuokoa pekee na wala hakupiga hizo Mbizi hadi kule chini iliko Cockpit ya Ndege na Kuonana na Marubani ambao walimpungia Mikono.
Muda wa Muongo Mkuu wa Taifa la Tanzania Premier Majaliwa na Msaidizi wake RC wa Kagera Chalamila Kuumbuka kuhusu kututeulia huyo Muokoaji Muongo Muongo ( Samjo Samjo ) Majaliwa Jackson unakaribia na msisahau kuwa Wanadamu tutadanganya ila Teknolojia na Uhalisia kamwe huwa havidanganyi.
Wale mnaoniuliza kwanini GENTAMYCINE namuandama mno Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa Kassim na simkubali Muokoaji Majaliwa Jackson majibu yenu ni haya yafuatayo.....
Niulizieni Kwake alifikiria nini na alituonaje Watanzania mpaka Kutudanganya vile kuwa Mtu ni mzima na anachapa zake Kazi Magogoni Ofisini wakati kumbe tayari alikuwa katika Friji ya Awali ya Mzena kabla ya kuhamishiwa katika ile iliyojengwa kwa Msaada wa Marafiki zetu Wajerumani ( Maalum na ya Kisasa ) iliyoko Lugalo ndani ya Chuo chao cha Tiba?
Kwa huyu Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) Muokoaji Majaliwa Jackson naomba niulizieni Kwake je, alipozama chini ya Maji hadi kwenda Kuwasabahi ( Kuwasalimia ) Marubani waliompungia mkono aliwakuwa Hai au tayari Wameshatuaga Kidunia?
Kubwa zaidi niulizieni Kwake Tapeli Tapeli ( Samjo Samjo ) Muokoaji Majaliwa Jackson kuwa ni kwanini 99% ya Wavuvi Wenzake kila Wakihojiwa kuhusu Yeye kufanya Uokoaji huo ambao Watanzania tumedanganywa na Mdanganyaji Mkuu wa Taifa ( Premier Wetu ) wote Wanamkana na sasa wameenda mbali zaidi Kuhoji iweje awe Yeye pekee wakati kama ni Zoezi zima la Uokoaji limefanyika kwa pamoja na tena wako wengine waliojitoa Mhanga zaidi yake pale katika Maji yale ( ilipoangukia Ndege ) lakini wala hawana Makuu na Shobo kama Yeye?
Muacheni kijana wawatu bana , mbona mnakua na roho mbaya hivyoBaadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja Kuwaokoa Wote hakuwa Tapeli ( Samjo ) Majaliwa Jackson kama Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alivyoendelea na Utamaduni wake 'Maalum' aliojiwekea wa Kutudanganya Kunakotukuka Watanzania kama ule wa Tukio Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021.
Taarifa za Awali na zenye uhakika kutoka kwa Wajumbe ambao pia ni Wabobezi wa Uchunguzi hasa wa Masuala ya Aviation zinasema kwamba Wavuvi wote kwa Ujumla wao ndiyo walisaidia katika Kuokoa na Kuwavusha Abiria hadi Ufukweni na Samjo ( Tapeli ) Majaliwa Jackson ( Muokoaji wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ) hakuokoa pekee na wala hakupiga hizo Mbizi hadi kule chini iliko Cockpit ya Ndege na Kuonana na Marubani ambao walimpungia Mikono.
Muda wa Muongo Mkuu wa Taifa la Tanzania Premier Majaliwa na Msaidizi wake RC wa Kagera Chalamila Kuumbuka kuhusu kututeulia huyo Muokoaji Muongo Muongo ( Samjo Samjo ) Majaliwa Jackson unakaribia na msisahau kuwa Wanadamu tutadanganya ila Teknolojia na Uhalisia kamwe huwa havidanganyi.
Wale mnaoniuliza kwanini GENTAMYCINE namuandama mno Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa Kassim na simkubali Muokoaji Majaliwa Jackson majibu yenu ni haya yafuatayo.....
Niulizieni Kwake alifikiria nini na alituonaje Watanzania mpaka Kutudanganya vile kuwa Mtu ni mzima na anachapa zake Kazi Magogoni Ofisini wakati kumbe tayari alikuwa katika Friji ya Awali ya Mzena kabla ya kuhamishiwa katika ile iliyojengwa kwa Msaada wa Marafiki zetu Wajerumani ( Maalum na ya Kisasa ) iliyoko Lugalo ndani ya Chuo chao cha Tiba?
Kwa huyu Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) Muokoaji Majaliwa Jackson naomba niulizieni Kwake je, alipozama chini ya Maji hadi kwenda Kuwasabahi ( Kuwasalimia ) Marubani waliompungia mkono aliwakuwa Hai au tayari Wameshatuaga Kidunia?
Kubwa zaidi niulizieni Kwake Tapeli Tapeli ( Samjo Samjo ) Muokoaji Majaliwa Jackson kuwa ni kwanini 99% ya Wavuvi Wenzake kila Wakihojiwa kuhusu Yeye kufanya Uokoaji huo ambao Watanzania tumedanganywa na Mdanganyaji Mkuu wa Taifa ( Premier Wetu ) wote Wanamkana na sasa wameenda mbali zaidi Kuhoji iweje awe Yeye pekee wakati kama ni Zoezi zima la Uokoaji limefanyika kwa pamoja na tena wako wengine waliojitoa Mhanga zaidi yake pale katika Maji yale ( ilipoangukia Ndege ) lakini wala hawana Makuu na Shobo kama Yeye?
Tatizo lingine kubwa kwake,akianzakudanganyaa anatumia nguvuuu kuuuubwa ya sautiPremier Wetu ni Certified International Liar.
Ngoja akuskieHuyo ni Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC tu.
Kabisa kabisa sema RC Chalamila alitakiwa kuhoja waliohusika kwenye zoezi la uokoaji hata kama nusu yao kuona jinsi gani ya kuwashukuru kuliko yeye kuteua mmoja. iinavunja moyo!!!What happen was a coincidence, wakati waliomo ndani ya ndege wakijitahidi kuufungua mlango, the way waliokuwa nje pia walikuwa wanajitahidi kuufungua, ulipofunguka, ikiwa wote wameufungua #wivu wa nini?