Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu
Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na Bolivia (dakika 23).
Sudan inashika nafasi ya nne kwa wastani wa dakika 22.9, huku Cuba na Honduras zikifuatia kwa dakika 22 na 21.5 mtawalia. India imerekodi wastani wa dakika 19 na sekunde 34, wakati Jamaica na Senegal zinashika nafasi za 8 na 9 kwa wastani wa dakika 17 na 16.
Kwenye upande wa chini, Ghana ina wastani wa dakika 14, Venezuela dakika 11, na South Africa inashika dakika 8. Peru, Kenya, na Puerto Rico zinarekodi wastani wa dakika 7, 6, na 4 mtawalia.

- Ecuador — dakika 24
- Cameroon — dakika 23.5
- Bolivia — dakika 23
- Sudan — dakika 22.9
- Cuba — dakika 22
- Honduras — dakika 21.5
- India — dakika 19 na sekunde 34
- Jamaica — dakika 17
- Senegal — dakika 16
- Ghana — dakika 14
- Venezuela — dakika 11
- South Africa — dakika 8
- Peru — dakika 7
- Kenya — dakika 6
- Puerto Rico — dakika 4
- United States — dakika 2
- Turkey — dakika 1 na sekunde 54
- China — dakika 1 na sekunde 24
- Bangladesh — dakika 1
- Pakistan — sekunde 42