Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

hapo kwenye dau ndipo tunapopataka sisi sio mambo za raisi akisema ni sheria
 
Ubwabwa umewaponza, mkome uroho, kwani huwa kwenu hamli?
Muulize semaji la Mbumbumbu, shughuri si yake alizamia mnuso kwao Hakuna chakula Msimbazi?
 

Attachments

  • Screenshot_20230605-192423.jpg
    23.4 KB · Views: 1
hapo kwenye dau ndipo tunapopataka sisi sio mambo za raisi akisema ni sheria
Wengine tunataka kujuwa pesa zetu tulizomchangia kwenda CAS tunarudishiwa lini?

Huu ni Utapeli, mama amlipe Katoto hii miamala yetu turudishiwe.
 
Msimu ujao ataenda Simba , Azam ni mlango usio na makelele
Nawasifu kwa kuishi kwa matumaini zaidi ya mgonjwa wa ukimwi.

Manzoki yuko wapi? au miezi 6 haijaisha bado?

Muda wa kusajili ni huu, sasa endelezeni porojo Yanga inarekebisha kikosi penye mapungufu vikombe vyote vita endelea kuchukuliwa na Yanga mpaka mtakapopata akili timamu.
 
Skumaanisha hvo
 
Ndg kwenye Maisha kuna kupambna, bahati, na kuforce vitu... FEI amefanya vyote na vimemlipa... Yeye ndo bingwa kwenye huu mzozo çoz yanga hawapati walichokuwa wanataka.. so FEI kawapiga chin yanga haijalishi ametumia mbinu ganiii.. yanga si walaumu sana.. ila TFF walitakiwa walione hilo mapema Kwa afya ya soka.. lkn waliziba masikio na kufumba macho.. aibu ni Yao piah
 
Kwahiyo fainali ya Tanga yumo?
 
Kila laheri shujaa Feisal.....umeonesha mfano kwa kupambana haki mpaka kimeeleweka.
 
Ombi la raisi haliwagi ombi haswa raisi wa kiafrika.Ile ilikuwa amri kamili iliyorembwarembwa na macho malegevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…