Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.

Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
hapo kwenye dau ndipo tunapopataka sisi sio mambo za raisi akisema ni sheria
 
Ubwabwa umewaponza, mkome uroho, kwani huwa kwenu hamli?
Muulize semaji la Mbumbumbu, shughuri si yake alizamia mnuso kwao Hakuna chakula Msimbazi?
 
Attachments

  • Screenshot_20230605-192423.jpg
    Screenshot_20230605-192423.jpg
    23.4 KB · Views: 1
hapo kwenye dau ndipo tunapopataka sisi sio mambo za raisi akisema ni sheria
Wengine tunataka kujuwa pesa zetu tulizomchangia kwenda CAS tunarudishiwa lini?

Huu ni Utapeli, mama amlipe Katoto hii miamala yetu turudishiwe.
 
Msimu ujao ataenda Simba , Azam ni mlango usio na makelele
Nawasifu kwa kuishi kwa matumaini zaidi ya mgonjwa wa ukimwi.

Manzoki yuko wapi? au miezi 6 haijaisha bado?

Muda wa kusajili ni huu, sasa endelezeni porojo Yanga inarekebisha kikosi penye mapungufu vikombe vyote vita endelea kuchukuliwa na Yanga mpaka mtakapopata akili timamu.
 
Skumaanisha hvo
 
Mnamsifu toto badala ya kumsifu aliyesema mgogoro uishe, hata angekuwa na msimamo mkubwa kiasi gani, bila jumba jeupe kumsitiri alikuwa amepotea. Mama amemsitiri dogo yani ni sawasawa wewe uwe na ugomvi na mtu then atokee mtu kuwasuluhisha ujisifu umeshinda, aushukuru sana wakati.
Ndg kwenye Maisha kuna kupambna, bahati, na kuforce vitu... FEI amefanya vyote na vimemlipa... Yeye ndo bingwa kwenye huu mzozo çoz yanga hawapati walichokuwa wanataka.. so FEI kawapiga chin yanga haijalishi ametumia mbinu ganiii.. yanga si walaumu sana.. ila TFF walitakiwa walione hilo mapema Kwa afya ya soka.. lkn waliziba masikio na kufumba macho.. aibu ni Yao piah
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.

Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
Kwahiyo fainali ya Tanga yumo?
 
Kila laheri shujaa Feisal.....umeonesha mfano kwa kupambana haki mpaka kimeeleweka.
 
Wale waliokuwa wanamwambia Hersi asimamie kanuni na asikubali kutii 'ombi' la Mama nadhani leo watakuwa dissapointed sana.

Tuliwaambia lile ombi litatekelezwa haraka sana na Mama atapelekewa mrejesho.Dogo ameondoka kwa masharti mepesi sana ndiyo maana 'dau' lake la kuondoka halitawekwa wazi kuepusha fedheha kwa waliokuwa wanamfanyia zengwe last born wa Taifa.
Ombi la raisi haliwagi ombi haswa raisi wa kiafrika.Ile ilikuwa amri kamili iliyorembwarembwa na macho malegevu.
 
Back
Top Bottom