cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Uongoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hujui wamelipa milioni 300
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hujui wamelipa milioni 300
hapo kwenye dau ndipo tunapopataka sisi sio mambo za raisi akisema ni sheriaTaarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.
Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
Muulize semaji la Mbumbumbu, shughuri si yake alizamia mnuso kwao Hakuna chakula Msimbazi?Ubwabwa umewaponza, mkome uroho, kwani huwa kwenu hamli?
Wengine tunataka kujuwa pesa zetu tulizomchangia kwenda CAS tunarudishiwa lini?hapo kwenye dau ndipo tunapopataka sisi sio mambo za raisi akisema ni sheria
Nawasifu kwa kuishi kwa matumaini zaidi ya mgonjwa wa ukimwi.Msimu ujao ataenda Simba , Azam ni mlango usio na makelele
Skumaanisha hvoNawasifu kwa kuishi kwa matumaini zaidi ya mgonjwa wa ukimwi.
Manzoki yuko wapi? au miezi 6 haijaisha bado?
Muda wa kusajili ni huu, sasa endelezeni porojo Yanga inarekebisha kikosi penye mapungufu vikombe vyote vita endelea kuchukuliwa na Yanga mpaka mtakapopata akili timamu.
Weww endelea kupigia punyeto Picha ya Beyonce wakati Jayzee anamkanda physical.Skumaanisha hvo
Ndg kwenye Maisha kuna kupambna, bahati, na kuforce vitu... FEI amefanya vyote na vimemlipa... Yeye ndo bingwa kwenye huu mzozo çoz yanga hawapati walichokuwa wanataka.. so FEI kawapiga chin yanga haijalishi ametumia mbinu ganiii.. yanga si walaumu sana.. ila TFF walitakiwa walione hilo mapema Kwa afya ya soka.. lkn waliziba masikio na kufumba macho.. aibu ni Yao piahMnamsifu toto badala ya kumsifu aliyesema mgogoro uishe, hata angekuwa na msimamo mkubwa kiasi gani, bila jumba jeupe kumsitiri alikuwa amepotea. Mama amemsitiri dogo yani ni sawasawa wewe uwe na ugomvi na mtu then atokee mtu kuwasuluhisha ujisifu umeshinda, aushukuru sana wakati.
Utakuwa na funza kichwaniWeww endelea kupigia punyeto Picha ya Beyonce wakati Jayzee anamkanda physical.
Bora mwenye funza kichwani kuliko wewe ambaye hata kichwa chenyewe huna ni shigo imebeba boga tu.Utakuwa na funza kichwani
Kwahiyo fainali ya Tanga yumo?Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.
Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
Kila laheri shujaa Feisal.....umeonesha mfano kwa kupambana haki mpaka kimeeleweka.Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.
Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
Acha uogaBila Rais alikuwa anapotea...ila kiuhalisia Yanga imedhulumiwa.
Mbona unailazimisha furaha kwa vitu ambacvyo havipo?Kila laheri shujaa Feisal.....umeonesha mfano kwa kupambana haki mpaka kimeeleweka.
Ardhi na Feisal nani mwenye thamani?Bila Rais alikuwa anapotea...ila kiuhalisia Yanga imedhulumiwa.
Wachawi hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachawi hao
Kama mnafikiri Feisal ndio tiba ya maradhi yenu aje hata leoMsimu ujao ataenda Simba , Azam ni mlango usio na makelele
Ombi la raisi haliwagi ombi haswa raisi wa kiafrika.Ile ilikuwa amri kamili iliyorembwarembwa na macho malegevu.Wale waliokuwa wanamwambia Hersi asimamie kanuni na asikubali kutii 'ombi' la Mama nadhani leo watakuwa dissapointed sana.
Tuliwaambia lile ombi litatekelezwa haraka sana na Mama atapelekewa mrejesho.Dogo ameondoka kwa masharti mepesi sana ndiyo maana 'dau' lake la kuondoka halitawekwa wazi kuepusha fedheha kwa waliokuwa wanamfanyia zengwe last born wa Taifa.