Mudathir jitafakari bro, umekua slow sana hii ni Yanga

Shida ya mudathir ni kuwa anaangalia chini akipewa mpira hajui kuscan vyema na kwa nafasi yake hilo linapaswa kuwa la kwanza kulijua ila sio kwamba ni mzito hapana kwale waliocheza mpira watakubalinana na mimi kuwa scanning ya opponent ya kwanza kabla hat haujapata huo mpira
 
Ana hasira kuliko kupenda kutumia ubongo wake.
 
Wajameni kwa gemu ya jana, wale Watswana walikuwa wanakaba hadi kivuli...gemu ilikuwa haitoi sana nafasi kwa Yanga eneo la mbele...
 
Back
Top Bottom