Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
Msimu huu yanga itafungwa goli nyingi hata kama inashinda lkn na wao lazima waruhusu goli moja ya sababu ni mwamnyeto lakini inawezekana labda shida ipo kwenye no 6 ndyo maana mwamnyeto anafanya makosa mbona Baka hazingui sana.Bora Dickson job aponeMoja kati ya wachezaji wanaopendwa sana na makocha Yanga huyu jamaa ila mzito sana kufanya maamuzi.
Nawasilisha.
Hakuna kitu kinakera kwa Mudathiri kama timu iko kwenye kushambulia yeye anatetemeka miguu anageuka na kupiga back passπππMoja kati ya wachezaji wanaopendwa sana na makocha Yanga huyu jamaa ila mzito sana kufanya maamuzi.
Nawasilisha.
Ungesema ligi yetu ni dhaifu ungeeleweka , ila ulivyoingiza uchoko wako huu.... Nimekuona wewe na Anko T ni ndgu!.Ununuzi/Purchasing power.
Hata akicheza na Simba huwa anasifiwa.... Kwani Kuna mtu hasifiwi?, kusifiwa utasifiwq na kukosolewa utakosolewa..Mbona akicheza na Singida Huwa mnamsifia?
Muwe mnaheshim taaluma za watu mpira sio rahisi kama mnavyofikiria na ubora wako utategemea na mpinzani wako kajipanga kivp ,Mudathir ni mchezaj muhimu sana ndo maana Makocha hawamuachi. By the way am not Yanga Fan
Kocha aache mara moja kumtumia mudathiri kama namba 10, mudathiri hana ubunifu, hana pass za usaidizi wa magori.... Kiufupi mudathiri hana sifa za kuwa namba 10 wakuwezesha timu ipate matokeo....!! Kinachombemba muda ni juhudi zake na pumziki ya ukabaji tu..... Kumuacha nje Azizi key Kuna siku kocha atakutana na baraua...!! Manqoba aambiwe hii ni Bongo ujuaji ukizidi ataliwa kichwa ππ... Akamuulize Gamondi.
Alifukuzwa .... Kama alivyowaacha chanuoGamondi aliachwa au yeye alitoka?
Hii ingekua inamake sense kama angekua anafungwa hadi timu zenye uchumi mzuri ambazo wachezaji wake hawanunuliki.Sahihi. Angalia hata mechi yao vs Namungo. Goli zote 3 ni makosa binafsi ya walinzi.
Kazi na umri....Moja kati ya wachezaji wanaopendwa sana na makocha Yanga huyu jamaa ila mzito sana kufanya maamuzi.
Nawasilisha.
Sawa wakuoe kama unawapenda!ππ(JokingPale Utopolo wachezaji naowapenda ni Mudathir. Nzengeli. Na alikua Pacome.
Pacome nampenda hadi kesho, sijui nani alimuumiza, nimechukia sanaa, π’π’π’
Tatizo umeenda na akili za kucheza na Jkt. Huko kunaotwa klabu bingwa ya Afrika.Moja kati ya wachezaji wanaopendwa sana na makocha Yanga huyu jamaa ila mzito sana kufanya maamuzi.
Nawasilisha.
HaswaaClub bigwa sio ligi kuu.