Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SEMA akikutana na marefa makiniMuda yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box uwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili.
Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
Kosa moja lisikufanye ujumuishe yote unayoyajuaMuda yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box uwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili.
Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
Zitaje ?Maana ukiongelea mudathir huoni Faulo za AuchoMechi tatu anarudia kitu kile kile
Kwa jana ilitakiwa afanye hivyo walikuwa pungufuMuda yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box uwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili.
Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
sikuzote ulikua wapi kutoa huu uchakondoo wako?Muda yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box uwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili.
Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
nazi weweUwa sijibu watu wajinga walioanza fatilia mpira wakati wa Hersi
Sio uto tu hata na sisi mbona huwa naona tunabebwa mnoShida ni refa asiye na uoga wakipatikana wawili tu uto watalia mnoo.
Af wewe sio simba weweSio uto tu hata na sisi mbona huwa naona tunabebwa mno
Mapacha wa Kariakoo huwa wanabebwa sana
Sijui kwa nini mashabiki wa Bongo hampendagi ukweliAf wewe sio simba wewe
Kuwataja hao sio tija wewe sio simba bana...Sijui kwa nini mashabiki wa Bongo hampendagi ukweli
yaani mnapendaga kudanganywa danganywa tu
Mimi ni mwanamsimbazi tangu kipindi cha Henry Joseph Shindika, Kaniki, Nicko Nyagawa, Pawassa N.K