Mudathir Yahya kuna siku ataigharimu timu kwa maguvu yake eneo la golini

Mudathir Yahya kuna siku ataigharimu timu kwa maguvu yake eneo la golini

Sio uto tu hata na sisi mbona huwa naona tunabebwa mno

Mapacha wa Kariakoo huwa wanabebwa sana
Kweli...linapokuja suala la mapacha wa kkoo marefa wanakuwa na wasiwasi mno kutoa maamuzi sahihi imefikia kipindi wanacheza faulo za wazi mno na marefa hawatoi kadi

Hata jana bacca alifanya ile faulo akiamini mambo yatakuwa km siku zote ile kadi nyekundu ilikuwa suprise kwa wachezaji, benchi la ufundi hadi mashabiki jukwaani kwa sababu huwa wanaamini wao ni untouchable
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-1769471325.jpeg
 
Tuseme ukweli,wachezaji wa Yanga wanatumia nguvu nyingi sana wakati ambao hawana mpira,hii ni hatari siku wakikutana na refa katili watachezea kadi sana, nadhani hili marefa wameanza kuliona hivi karibu tumeanza kuona wanapigwa kadi.
Kwani huko CAF ambao wameshiriki hii ni mara ya tatu inamaana hakuna marefa makini
Mbona hizo redcard hawapewi
 
Kweli...linapokuja suala la mapacha wa kkoo marefa wanakuwa na wasiwasi mno kutoa maamuzi sahihi imefikia kipindi wanacheza faulo za wazi mno na marefa hawatoi kadi

Hata jana bacca alifanya ile faulo akiamini mambo yatakuwa km siku zote ile kadi nyekundu ilikuwa suprise kwa wachezaji, benchi la ufundi hadi mashabiki jukwaani kwa sababu huwa wanaamini wao ni untouchable
Walizoeshwa vibaya
 
Muda yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box uwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili.

Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
Achaneni na mpira,Yanga misimu mitatu bingwa huku Mudathir akiwa kwenye first eleven siku, hayo makosa kayafanya mara ngapi?

Au nitajie kiungo mmoja mkabaji/beki amabaye hajawahi kufanya makosa. Nyie wengine mkashangilie marede mpira haukufahi. Labda kama Kolo FC uliye amua kufake.
 
Wewe punga kaa kushoto au katafute basha
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)View attachment 3142346
Ona hii mbung'o...Ndio nini sasa hiki?
 
Ona hii mbung'o...Ndio nini sasa hiki?
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)View attachment 3142346
Aiseee.
 
Muda yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box uwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili.

Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
Viungo hasa wenye Kariba ya ushambuliajai, na hata washambuliaji hawatakiwi kabisa kukabia ndani ya 18. Yaani lazima majanga yatokee, hawana tafadhari kama mabeki.
 
Sijui kwa nini mashabiki wa Bongo hampendagi ukweli
yaani mnapendaga kudanganywa danganywa tu

Mimi ni mwanamsimbazi tangu kipindi cha Henry Joseph Shindika, Kaniki, Nicko Nyagawa, Pawassa N.K
YANGA MWENZANGU LINI TENA UMEHAMIA KWA MIKIA?SISI SI TUPO WOTE KWENYE GROUP LA YANGA BINGWA? AU UNAWAZUGA HAWA MIKIA?
 
Hii ni pumba
Kwani huko CAF ambao wameshiriki hii ni mara ya tatu inamaana hakuna marefa makini
Mbona hizo redcard hawapewi
Unajua kwanini Aucho alikosa fainali ya shirikisho, Backa alikuwa na kadi ngapi? Halafu caf mmeshiriki Mara ngapi kwa miaka ya hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom