Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ni wachezaji wa Yanga tu wanapewa tu kadi???Unajua kwanini Aucho alikosa fainali ya shirikisho, Backa alikuwa na kadi ngapi? Halafu caf mmeshiriki Mara ngapi kwa miaka ya hivi karibuni.
Kadi ni kitu cha kawaida kwenye mpira wala sio ajabu
Kwamba simba wao hawafanyagi makosa kabisa kwa hiyo hawapewagi kadi kabisa
Kama kwako kadi ni ajabu hiko kitakua ni kituko