Kweli...linapokuja suala la mapacha wa kkoo marefa wanakuwa na wasiwasi mno kutoa maamuzi sahihi imefikia kipindi wanacheza faulo za wazi mno na marefa hawatoi kadiSio uto tu hata na sisi mbona huwa naona tunabebwa mno
Mapacha wa Kariakoo huwa wanabebwa sana
Kwa io kuwa simba ni kusema uongo hata km jambo ni la ukweli?Kuwataja hao sio tija wewe sio simba bana...
Kwani huko CAF ambao wameshiriki hii ni mara ya tatu inamaana hakuna marefa makiniTuseme ukweli,wachezaji wa Yanga wanatumia nguvu nyingi sana wakati ambao hawana mpira,hii ni hatari siku wakikutana na refa katili watachezea kadi sana, nadhani hili marefa wameanza kuliona hivi karibu tumeanza kuona wanapigwa kadi.
Hii ni pumbaSEMA akikutana na marefa makini
Potelea pote endelea kuamini hivyo hivyoKuwataja hao sio tija wewe sio simba bana...
Ila ni kwa upande tu wa Yanga na sio SimbaPotelea pote endelea kuamini hivyo hivyo
Ila mimi sio mtu wa kuendeshwa na hisia penye nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi sikwepeshagi
Kumtafuta mchawi ndio anthem ya bongo, from wananchi, makampuni, hadi serikaliniMkuu kupoteza mechi moja tu mshaanza kumtafta mchawi nani. Tulieni yahya mbna ni mchezaji mzuri saana hayo ni makosa yapo kwa wanadamu
Walizoeshwa vibayaKweli...linapokuja suala la mapacha wa kkoo marefa wanakuwa na wasiwasi mno kutoa maamuzi sahihi imefikia kipindi wanacheza faulo za wazi mno na marefa hawatoi kadi
Hata jana bacca alifanya ile faulo akiamini mambo yatakuwa km siku zote ile kadi nyekundu ilikuwa suprise kwa wachezaji, benchi la ufundi hadi mashabiki jukwaani kwa sababu huwa wanaamini wao ni untouchable
Achaneni na mpira,Yanga misimu mitatu bingwa huku Mudathir akiwa kwenye first eleven siku, hayo makosa kayafanya mara ngapi?Muda yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box uwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili.
Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
Wewe punga kaa kushoto au katafute bashaAchaneni na mpira,Yanga misimu mitatu bingwa huku Mudathir akiwa kwenye first eleven siku, hayo makosa kayafanya mara ngapi?
Au nitajie kiungo mmoja mkabaji/beki amabaye hajawahi kufanya makosa. Nyie wengine mkashangilie marede mpira haukufahi. Labda kama Kolo FC uliye amua kufake.
Sawa tranny ila katafute pump utolewe manii.Wewe punga kaa kushoto au katafute basha
Ona hii mbung'o...Ndio nini sasa hiki?Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)View attachment 3142346
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Ona hii mbung'o...Ndio nini sasa hiki?
Aiseee.Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)View attachment 3142346
Viungo hasa wenye Kariba ya ushambuliajai, na hata washambuliaji hawatakiwi kabisa kukabia ndani ya 18. Yaani lazima majanga yatokee, hawana tafadhari kama mabeki.Muda yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box uwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili.
Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
YANGA MWENZANGU LINI TENA UMEHAMIA KWA MIKIA?SISI SI TUPO WOTE KWENYE GROUP LA YANGA BINGWA? AU UNAWAZUGA HAWA MIKIA?Sijui kwa nini mashabiki wa Bongo hampendagi ukweli
yaani mnapendaga kudanganywa danganywa tu
Mimi ni mwanamsimbazi tangu kipindi cha Henry Joseph Shindika, Kaniki, Nicko Nyagawa, Pawassa N.K
Unajua kwanini Aucho alikosa fainali ya shirikisho, Backa alikuwa na kadi ngapi? Halafu caf mmeshiriki Mara ngapi kwa miaka ya hivi karibuni.Hii ni pumba
Kwani huko CAF ambao wameshiriki hii ni mara ya tatu inamaana hakuna marefa makini
Mbona hizo redcard hawapewi