Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Nov 3, 2024 #41 rodrick alexander said: Unajua kwanini Aucho alikosa fainali ya shirikisho, Backa alikuwa na kadi ngapi? Halafu caf mmeshiriki Mara ngapi kwa miaka ya hivi karibuni. Click to expand... Ni wachezaji wa Yanga tu wanapewa tu kadi??? Kadi ni kitu cha kawaida kwenye mpira wala sio ajabu Kwamba simba wao hawafanyagi makosa kabisa kwa hiyo hawapewagi kadi kabisa Kama kwako kadi ni ajabu hiko kitakua ni kituko
rodrick alexander said: Unajua kwanini Aucho alikosa fainali ya shirikisho, Backa alikuwa na kadi ngapi? Halafu caf mmeshiriki Mara ngapi kwa miaka ya hivi karibuni. Click to expand... Ni wachezaji wa Yanga tu wanapewa tu kadi??? Kadi ni kitu cha kawaida kwenye mpira wala sio ajabu Kwamba simba wao hawafanyagi makosa kabisa kwa hiyo hawapewagi kadi kabisa Kama kwako kadi ni ajabu hiko kitakua ni kituko
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 1,353 Reaction score 3,060 Nov 3, 2024 #42 Marefa wa kibongo wanawalea sana hawa Utopolo
M majebelenzoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 288 Reaction score 465 Nov 3, 2024 #43 sonofobia said: Muda Yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box huwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili. Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana. Click to expand... Alipokuwa anamfanyia rafu Kibu hamkuona, sasa mnaanza kuona?
sonofobia said: Muda Yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box huwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili. Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana. Click to expand... Alipokuwa anamfanyia rafu Kibu hamkuona, sasa mnaanza kuona?
M majebelenzoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 288 Reaction score 465 Nov 3, 2024 #44 Wee nae acha usenge, hii post umeganda nayo utadhani inakusaidia nini? Kuna haja gani unaipaste kila page? Tumia akili basi japo kiduchu
Wee nae acha usenge, hii post umeganda nayo utadhani inakusaidia nini? Kuna haja gani unaipaste kila page? Tumia akili basi japo kiduchu
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Nov 3, 2024 #45 Masikio Masikio said: Ni wachezaji wa Yanga tu wanapewa tu kadi??? Kadi ni kitu cha kawaida kwenye mpira wala sio ajabu Kwamba simba wao hawafanyagi makosa kabisa kwa hiyo hawapewagi kadi kabisa Kama kwako kadi ni ajabu hiko kitakua ni kituko Click to expand... Simba walikuwa na Kanoute lakini yanga Kuna sure boy ingawa siku hizi hapangwi, Aucho, Mudhathiri, Job na Bacca kwa sababu ya marefa wa mchongo ndio wanawapa vichwa.
Masikio Masikio said: Ni wachezaji wa Yanga tu wanapewa tu kadi??? Kadi ni kitu cha kawaida kwenye mpira wala sio ajabu Kwamba simba wao hawafanyagi makosa kabisa kwa hiyo hawapewagi kadi kabisa Kama kwako kadi ni ajabu hiko kitakua ni kituko Click to expand... Simba walikuwa na Kanoute lakini yanga Kuna sure boy ingawa siku hizi hapangwi, Aucho, Mudhathiri, Job na Bacca kwa sababu ya marefa wa mchongo ndio wanawapa vichwa.