Unaweza kukimbia kijiji ambacho haujawahi kufika?Kwa hiyo kilichokukimbiza chato ni uchawi wa wakazi wa eneo hilo?maana kuna binti alishajigeuza fisi ndani ya gesti
Majina ufanane nao halafu mwingine aombe udugu?Umewakataa ndugu zako?
Majina ufanane nao halafu mwingine aombe udugu?Umewakataa ndugu zako?
Wanayo chawa pekee kwa kuwa wanakula na kusaza na kusubiri kituo kinachofuataaa niii?Tanzania ina amani?
Bado hamjawakoma wakenya eeeeeNaona pongezi zinatoka kila mahali baada ya serikali kuyafurusha magenge ya wahuni waliodhani Tanzania ni shamba la bibi.
View attachment 3340282
Wanayo chawa pekee kwa kuwa wanakula na kusaza na kusubiri kituo kinachofuataaa niii?
Na SSH amewaambia anawalindia "amani" waliyonayo.Ila kwa kupeana sumu hawajambo.
Mtu anapo acha kutumia akili then anatumia MATACKE.Martha takataka tu, who the hell is she? Hana lolote, chochote, apeleke milonjo yake huko Kenya, hapa Tanzania hatutaki ushenzi hata kidogo linapokuja suala la amani ya nchi yetu.
Umeanza kupiga ramli?Ohhhh, yego Jaji, pai lata, masologo manyege!
Wachawi chawa wa ramli chonganishi wa ccm msimu wa chafuzi hao.Umeanza kupiga ramli?
Ni kufumba macho ili usisikie milio ya ngoma ya mdumange na msusumio.Ramli ni nini?
Nikiondoka mjini unataka nikute wameuza hadi bahari?Ingekuwa hujajifanya wa mjini ungeenda kumrithi mke wa mzee mbabe