Mudavadi: Tanzania iko sahihi kulinda Utaifa wake, Jumuiya ya Afrika Mashariki siyo Taifa ni Mwamvuli tu

Maandamano yalienea,wakapigwa sound boom,vizunguzungu,kutapika
Huwezi kupata kitu kama hii ya polisi kuteka Wananchi kuwapiga na kwenda kuwatupa msituni

Chadema wanajipitisha hapa huku wanaogopa kukomenti
 
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Mheshimiwa Musalia Mudavadi asema wanaharakati wa Kenya walikuja kuingilia mambo ya uchaguzi wa Tanzania kitu kisichoruhusiwa kwenye Jumuiya

Kwani hiyo kesi inahusu ya wabaotaka uchaguzi na wasiotaka uchaguzi. Ni kesi husiana na mambo ya uchaguzi ambayo ni mambo ya ndani ya nchi

Kiukweli huyu Waziri yuko vizuri kwenye mambo ya nje .Kajibu vizuri

Pia soma

View: https://youtu.be/4Wmeinhf0Eg?si=XUcMFAI2Jyhv2tmu
 
Kesi gani inahusiana na uchaguzi? Uhaini na uchaguzi wapi na wapi?. Issue ni toka lini wanaharakati wakazuiwa kusikiliza kesi, watu huja kujifunza kupitia kesi kama hizi kwani uliona wameandamana au kufanya vurugu? Walikuja pia kuonyesha solidarity!!

Huyu mudavadi bure kabisa!! Anasahau alikuaga mpinzani, leo yupo serikalini anaona wapinzani wenzie hawafai!! Embicile.
 
Kesi gani inahusiana na uchaguzi? Uhaini na uchaguzi wapi na wapi?. Issue ni toka lini wanaharakati wakazuiwa kusikiliza kesi, watu huja kujifunza kupitia kesi kama hizi kwani uliona wameandamana au kufanya vurugu? Walikuja pia kuonyesha solidarity!!
Solidarity ya no reform no election ni ya kisiasa

Hiyo solidarity yawahusu wanatanzania sio wakenya
 
Adui mkubwa w mwanamke ni MWANAMKE mwenyewe TU
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kwahiyo Martha Karua kuja kusikiliza kesi ya uhaini inavunja sheria gani? Kuja tu mahakamani anakua amekosea nni?
Kesi inahusu mambo ya uchaguzi hukuona hata Lisu nwenyewe akiingia mahakamani na Tshirt ya kampeni kabisa iliyoandikwa no reform no election? Kupiga kampeni hadi mahakamani?
 
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Mheshimiwa Musalia Mudavadi asema wanaharakati wa Kenya walikuja kuingilia mambo ya uchaguzi wa Tanzania kitu kisichoruhusiwa kwenye Jumuiya

Kwani hiyo kesi inahusu ya wabaotaka uchaguzi na wasiotaka uchaguzi. Ni kesi husiana na mambo ya uchaguzi ambayo ni mambo ya ndani ya nchi

Kiukweli huyu Waziri yuko vizuri kwenye mambo ya nje .Kajibu vizuri

Pia soma

View: https://youtu.be/4Wmeinhf0Eg?si=XUcMFAI2Jyhv2tmu

Sasa si awakamate sasa hao wakenya wake waliokuja kuingilia uchaguzi.

Hivi huo uchaguzi nani alishinda? Au kura bado zinahesabiwa?
 
Back
Top Bottom