Hivi nyie kenge vichwa vyenu vina ubongo kama watu wa kawaida au vimejaa makamasi tupu ?Kesi inahusu mambo ya uchaguzi hukuona hata Lisu nwenyewe akiingia mahakamani na Tshirt ya kampeni kabisa iliyoandikwa no reform no election? Kupiga kampeni hadi mahakamani?