johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Marekani kwenyewe watu wakiandamana hubondwa,uhuru una mipakaAlichosema hapo kwa lugha ya sisi Wazee wa Ngwasuma ni kwamba Tanzania kuna UDIKTETA.
Maandamano ya AMANI yamebondwa lini?Marekani kwenyewe watu wakiandamana hubondwa,uhuru una mipaka
Mudavadi yuko sahihi,Waziri mkuu wa Kenya mh Musalia Mudavadi amesema Uhuru uliopo Kenya ni wa Kenya siyo lazima uigwe na nchi nyingine za Africa mashariki
Source: Citizen tv
Demokrasia ni kama madhehebu ya Wakristo yana njia mbalimbali za kuabuduAlichosema hapo kwa lugha ya sisi Wazee wa Ngwasuma ni kwamba Tanzania kuna UDIKTETA.
Ukweli mtupuMarekani kwenyewe watu wakiandamana hubondwa,uhuru una mipaka
Occupy wall street/we are 99% ile 2011 ulikua Rwanda unachunga ng'ombe wenye mapembe marefu?Maandamano ya AMANI yamebondwa lini?
Occupy ni trespass au hujui?Occupy wall street/we are 99% ile 2011 ulikua Rwanda unachunga ng'ombe wenye mapembe marefu?
Angalia Demokrasia ya Mama ya kupora Chaguzi👇Demokrasia ni kama madhehebu ya Wakristo yana njia mbalimbali za kuabudu