gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Trespass wapi wewe!!..mbona waliwaacha takriban miezi miwili?Occupy ni trespass au hujui?
Mtu anapo acha kutumia akili then anatumia MATACKE.
Mzee wewe ni MATACKE.
Uwe unaandika Kwa rejea ya mifano hai mkuu hapa sio FacebookMarekani kwenyewe watu wakiandamana hubondwa,uhuru una mipaka
Unaweza ukaachwa lakini hiyo ndio sheria.Trespass wapi wewe!!..mbona waliwaacha takriban miezi miwili?
Occupy wall street/we are 99% 2011Uwe unaandika Kwa rejea ya mifano hai mkuu hapa sio Facebook
Maandamano yalienea,wakapigwa sound boom,vizunguzungu,kutapikaUnaweza ukaachwa lakini hiyo ndio sheria.
Huwezi kupata kitu kama hii ya polisi kuteka Wananchi kuwapiga na kwenda kuwatupa msituniMaandamano yalienea,wakapigwa sound boom,vizunguzungu,kutapika
Hili Dingii ni PM huko kwao, hiki cheo bado kipo kwenye katiba yao?Waziri mkuu wa Kenya mh Musalia Mudavadi amesema Uhuru uliopo Kenya ni wa Kenya siyo lazima uigwe na nchi nyingine za Africa mashariki
Source: Citizen tv
Haijalishi,muhimu ni kwamba waandamanaji walibondwaHuwezi kupata kitu kama hii ya polisi kuteka Wananchi kuwapiga na kwenda kuwatupa msituni
View attachment 3340495
View attachment 3340496
Ubishi wa kijinga sanaHaijalishi,muhimu ni kwamba waandamanaji walibondwa
Si tunazungumzia uhuru/demokrasia,nijakwambia marekani waandamanaji walibondwa,ukataka ushahidi nikakupaUbishi wa kijinga sana
Solidarity ya no reform no election ni ya kisiasaKesi gani inahusiana na uchaguzi? Uhaini na uchaguzi wapi na wapi?. Issue ni toka lini wanaharakati wakazuiwa kusikiliza kesi, watu huja kujifunza kupitia kesi kama hizi kwani uliona wameandamana au kufanya vurugu? Walikuja pia kuonyesha solidarity!!
Kwahiyo Martha Karua kuja kusikiliza kesi ya uhaini inavunja sheria gani? Kuja tu mahakamani anakua amekosea nni?Solidarity ya no reform no election ni ya kisiasa
Hiyo solidarity yawahusu wanatanzania sio wakenya
Kesi inahusu mambo ya uchaguzi hukuona hata Lisu nwenyewe akiingia mahakamani na Tshirt ya kampeni kabisa iliyoandikwa no reform no election? Kupiga kampeni hadi mahakamani?Kwahiyo Martha Karua kuja kusikiliza kesi ya uhaini inavunja sheria gani? Kuja tu mahakamani anakua amekosea nni?
Sasa si awakamate sasa hao wakenya wake waliokuja kuingilia uchaguzi.Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Mheshimiwa Musalia Mudavadi asema wanaharakati wa Kenya walikuja kuingilia mambo ya uchaguzi wa Tanzania kitu kisichoruhusiwa kwenye Jumuiya
Kwani hiyo kesi inahusu ya wabaotaka uchaguzi na wasiotaka uchaguzi. Ni kesi husiana na mambo ya uchaguzi ambayo ni mambo ya ndani ya nchi
Kiukweli huyu Waziri yuko vizuri kwenye mambo ya nje .Kajibu vizuri
Pia soma
- Pre GE2025 - Seneta mmoja Kenya aunga mkono Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya
- Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania
View: https://youtu.be/4Wmeinhf0Eg?si=XUcMFAI2Jyhv2tmu