Hivi nyie kenge vichwa vyenu vina ubongo kama watu wa kawaida au vimejaa makamasi tupu ?Kesi inahusu mambo ya uchaguzi hukuona hata Lisu nwenyewe akiingia mahakamani na Tshirt ya kampeni kabisa iliyoandikwa no reform no election? Kupiga kampeni hadi mahakamani?
Wanamuita Mkuu wa MawaziriHili Dingii ni PM huko kwao, hiki cheo bado kipo kwenye katiba yao?
Kesi ni ya uhaini sasa mambo ya uchaguzi yanatoka wapi hapa?Kesi inahusu mambo ya uchaguzi hukuona hata Lisu nwenyewe akiingia mahakamani na Tshirt ya kampeni kabisa iliyoandikwa no reform no election? Kupiga kampeni hadi mahakamani?
Kweli kiingereza Ni kigumu sana hapa Tanzania. Kwa hiyo unajiona umeelewa sana alichosema Mh. Mudavadi.Naona pongezi zinatoka kila mahali baada ya serikali kuyafurusha magenge ya wahuni waliodhani Tanzania ni shamba la bibi.
Pia soma > Pre GE2025 - Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha Karua kuzuiwa kuingia Tanzania
---
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Mheshimiwa Musalia Mudavadi asema wanaharakati wa Kenya walikuja kuingilia mambo ya uchaguzi wa Tanzania kitu kisichoruhusiwa kwenye Jumuiya
Kwani hiyo kesi inahusu ya wabaotaka uchaguzi na wasiotaka uchaguzi. Ni kesi husiana na mambo ya uchaguzi ambayo ni mambo ya ndani ya nchi
Kiukweli huyu Waziri yuko vizuri kwenye mambo ya nje .Kajibu vizuri
Pia soma
- Seneta mmoja Kenya aunga mkono Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya
- Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania
Uhaini dhidi ya Kenya?Kesi ni ya uhaini sasa mambo ya uchaguzi yanatoka wapi hapa?
Acha ujinga wako wewe Tanzania mna amani gani ?Huyo mwanamke anawadanganya na kuwa funga wanaume wazima mnaishia kulia lia!! Huyu mama mzanzibari amewafanya wanaume wote wa bara mahanithi ; ameuza bandari na anakopa nje hovyo na fedha anatumia kuhonga wanaume zake! Anajitia anajenga barabara ambazo za hovyo lakini waTanzania wanaishia kulia kimya kimya!! Huyo mwanamke fisadi na mwizi hafai kabisa kuwa Rais. Laiti Nyerere angekuwa hai angemfurumusha.Martha takataka tu, who the hell is she? Hana lolote, chochote, apeleke milonjo yake huko Kenya, hapa Tanzania hatutaki ushenzi hata kidogo linapokuja suala la amani ya nchi yetu.
Naona pongezi zinatoka kila mahali baada ya serikali kuyafurusha magenge ya wahuni waliodhani Tanzania ni shamba la bibi.
Pia soma > Pre GE2025 - Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha Karua kuzuiwa kuingia Tanzania
---
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Mheshimiwa Musalia Mudavadi asema wanaharakati wa Kenya walikuja kuingilia mambo ya uchaguzi wa Tanzania kitu kisichoruhusiwa kwenye Jumuiya
Kwani hiyo kesi inahusu ya wabaotaka uchaguzi na wasiotaka uchaguzi. Ni kesi husiana na mambo ya uchaguzi ambayo ni mambo ya ndani ya nchi
Kiukweli huyu Waziri yuko vizuri kwenye mambo ya nje .Kajibu vizuri
Pia soma
- Seneta mmoja Kenya aunga mkono Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya
- Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania
Waziri hajajibu hivyo, sikiliza waziri anavyojibu....Tatizo hakuna English TZ, uongo mtupu hamuelewi KiingerezaNaona pongezi zinatoka kila mahali baada ya serikali kuyafurusha magenge ya wahuni waliodhani Tanzania ni shamba la bibi.
Pia soma > Pre GE2025 - Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha Karua kuzuiwa kuingia Tanzania
---
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Mheshimiwa Musalia Mudavadi asema wanaharakati wa Kenya walikuja kuingilia mambo ya uchaguzi wa Tanzania kitu kisichoruhusiwa kwenye Jumuiya
Kwani hiyo kesi inahusu ya wabaotaka uchaguzi na wasiotaka uchaguzi. Ni kesi husiana na mambo ya uchaguzi ambayo ni mambo ya ndani ya nchi
Kiukweli huyu Waziri yuko vizuri kwenye mambo ya nje .Kajibu vizuri
Pia soma
- Seneta mmoja Kenya aunga mkono Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya
- Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania
Katufungia twitter mpaka tuingie kwa VPN huku ni kukomoana sasaMSINIUE
Fungua link hii hapa nenda kuanzia dakika ya 11 kuendelea
View: https://youtu.be/4Wmeinhf0Eg?si=eWS8ZoeqeNVokk6L
Akihojiwa na mtangazaji wa Citizen TV ya Kenya amekiri kuwa protocol ya East African Community haiondoi national sovereignty.
Amewaambia ukweli, kama hako Ka Marha ni kapumbavu.MSINIUE
Fungua link hii hapa nenda kuanzia dakika ya 11 kuendelea
View: https://youtu.be/4Wmeinhf0Eg?si=eWS8ZoeqeNVokk6L
Akihojiwa na mtangazaji wa Citizen TV ya Kenya amekiri kuwa protocol ya East African Community haiondoi national sovereignty.
Hii link ni ya YouTube, siyo TwitterKatufungia twitter mpaka tuingie kwa VPN huku ni kukomoana sasa
Hivi mtu sikuhizi akiingia Tanzania anapigwa bila sababu? Au akija kesho atapigwa pia au mpaka hiya tarehe 2Natamani martha karua tarehe 2 juni aje..nione polisi wakishusha kichapo kama wapumbavu
Mpigie muliroHivi mtu sikuhizi akiingia Tanzania anapigwa bila sababu? Au akija kesho atapigwa pia au mpaka hiya tarehe 2