Muendelezo wa njia za kutoka pesa Binance kwa kutumia Binance Pay

FestoKaguo

Senior Member
Joined
Apr 1, 2022
Posts
128
Reaction score
202
Habari ndugu zangu wa JF natumaini mnaendelea vyema kabisa hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani kwa ndugu zetu waislamu na Kwaresma kwa ndugu zetu wakristo wakatoliki.

Leo nataka kuendelea na uzi wetu unaohusu Binance payment methods ambapo kwa uzi uliopita tuliangalia njia nne unazoweza kuzitumia kutoa pesa kwenye binance yakon ambapo kwenye ule uzi tuliishia kwenye kipengele cha Binance Pay
Hivyo uzi wa leo kama nilivyoahidi utaelezea kuhusu Binance Pay kiundani zaidi na faida zake ulifananisha na zile njia nyingine hivyo stay in touch na twende pamoja
Kama ilivyo ada inatakiwa utambue ya kuwa ili utumie Binance pay ni lazima uwe na app ya Binance na ni lazima uwe umejisajili kama bado haujajisajili basi bonyeza hapa Binance ujisajiri sasa..!!!
Okay sasa twende pamoja...
Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kutambua ni kwamba Binance pay inafanya kazi baina ya watu wawili wanaotumia Binance tu tofauti na hapo hautoweza kutumia Binance pay na inabidi utambue kuwa Binance Pay kama binance pay yenyewe ni teknolojia ya malipo ya crypto ambayo haitumii zile contract address, pia haina mipaka, na ni secure zaidi iliyoundwa na exchange ya Binance.

Kupitia Binance pay unaweza kutuma crypto na kupokea kutoka kwa wauzaji (merchants) au mnunuaji popote pale duniani bure kabisa tofauti na P2P ambayo imekuwa na makato ya $0.05 kwenye miamala unayoifanya.
20250328_104159.jpg

Binance pay yenyewe haina makato hata kidogo na unatuma hela kwa haraka na wepesi zaidi kikubwa mtu unayemtumia nae awe anatumia app ya binance na awe amekamilisha Know Your Customer ( KYC) Verification

Kwanini nasema Binance pay ni ya haraka?
Binance pay ni ya haraka kwa sababu yenyewe haina mda wa kusubiri kuweka order na kisha kusubiri dakika kadhaa wakala athibitishe ndio umpe crypto and vice versa bali yenyewe unamtumia mtu ambaye tayari mmeshawasiliana na kakutumia kiasi chako cha pesa tayari.

Uzuri wa Binance pay unaweza kutuma kiwango chochote kile tofauti na P2P ambayo mawakala wameweka kiwango cha chini cha kupokea pesa kwahiyo kama hauna hicho kiwango basi huwezi kufanya nao biashara.
Na kitu kingine Binance pay inatumia email, binance ID na namba ya simu kupokea na kutuma hela kwa mhusika.
20250328_104959.jpg

Pichani ni muonekano wa Binance pay
Pia kupitia Binance pay mtu anaweza akarequest kiwango cha pesa kisha akakutumia link directly kwa njia ya whatsapl au sms za kawaida na wewe ukaitumia hiyo link kumtumia hicho kiwango alichokiomba moja kwa moja kupitia Binance
20250328_105417.jpg

Pichani nilikuwa narequest kiwango cha USDT kutoka kwa jamaa yangu ambaye tayari nina email yake anayoitumia binance.
Najua Hamna mtu anayependa kodi si ndio? Na Kwa sababu hela uliyoitafuta kwa jasho hutopenda kuona kuna mtu anachukua tu from nowhere na kukwambia lipa Tax kwahiyo hata mimi nimekuwa nikitumia sana Binance pay kupokea hela na kutuma badala ya kutumia P2P (reason binance pay haina Makato) 😂
20250328_105539.jpg

Hizi ni baadhi ya transactions nilizowahi fanya kupitia Binance Pay
Na mwisho kabisa ukiangalia vizuri kwenye Binance Pay kuna option ya Mobile top up yaani unaweza kuongeza au kununua bando lako directly kupitia Binance app niliandika uzi wake unaweza pitia previous threads zangu ukasoma.
Incase una maswali zaidi kuhusu cryptocurrency au unahitaji huduma ya kuelekezwa kitu basi namba yangu ni 0765772976 inapatikana whatsapp na kawaida
Comment yako ni muhimu sana kwangu usisite kushare nami ulichoelewa kwenye huu uzi
Inshallah
 
View attachment 3285726

View attachment 3285729
Pichani ni muonekano wa Binance pay
Pia kupitia Binance pay mtu anaweza akarequest kiwango cha pesa kisha akakutumia link directly kwa njia ya whatsapl au sms za kawaida na wewe ukaitumia hiyo link kumtumia hicho kiwango alichokiomba moja kwa moja kupitia Binance
View attachment 3285730
Pichani nilikuwa narequest kiwango cha USDT kutoka kwa jamaa yangu ambaye tayari nina email yake anayoitumia binance.
Najua Hamna mtu anayependa kodi si ndio? Na Kwa sababu hela uliyoitafuta kwa jasho hutopenda kuona kuna mtu anachukua tu from nowhere na kukwambia lipa Tax kwahiyo hata mimi nimekuwa nikitumia sana Binance pay kupokea hela na kutuma badala ya kutumia P2P (reason binance pay haina Makato) 😂
View attachment 3285731
Hizi ni baadhi ya transactions nilizowahi fanya kupitia Binance Pay
Na mwisho kabisa ukiangalia vizuri kwenye Binance Pay kuna option ya Mobile top up yaani unaweza kuongeza au kununua bando lako directly kupitia Binance app niliandika uzi wake unaweza pitia previous threads zangu ukasoma.
Incase una maswali zaidi kuhusu cryptocurrency au unahitaji huduma ya kuelekezwa kitu basi namba yangu ni 0765772976 inapatikana whatsapp na kawaida
Comment yako ni muhimu sana kwangu usisite kushare nami ulichoelewa kwenye huu uzi
Inshallah
Mkuu Festo Andrews shukrani kwa andiko lako zuri sana swali langu: Hii Binance pay inawezesha vipi mtu kuipata hiyo fedha phsically yaani nina shiba inu 4,000 nakutumia wewe, je wewe unapataje hizo shiba inu 4000 zikiwa kwenye shiling za kitanzania?
 
Back
Top Bottom