Mufindi: Akamatwa akijaza pombe bandia kwenye Chupa

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini Mafinga.Kwa mujibu wa Dkt. Salekwa pombe hizo ni Konyagi, Cuca Vodka, na Robot Gin baadhi yake vina nembo halisi ingawa havina nembo kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Aidha Dkt. Linda ametoa wito kwa Watumiaji kuangalia vileo kama ni Orginal (Halisi) ili kuepuka madhara kwani kila bidhaa inapaswa kuthibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Baadhi ya pombe zinazozalishwa Tanzania zapigwa marufuku kuuzwa Rwanda
 
3FB39378-9DF8-4C3B-AD88-E6305D33E519.jpeg
 
Konyahgi ni gongo , sasa kama mtu anajazilizia gongo inakuwaje waseme ni haramu?
 
Yaani kwa watumiaji ni bora kuacha tu
Maana nobody cares
Siku hizi Mchina anafyatua mitambo ambayo mtu mmoja anaweza kuhama navyo
Ni mradi mkubwa sana huo na unaingiza hela nyingi sana
Huyu ni wa kupigwa faini ya 1b au jela miaka 30
 
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini Mafinga.Kwa mujibu wa Dkt. Salekwa pombe hizo ni Konyagi, Cuca Vodka, na Robot Gin baadhi yake vina nembo halisi ingawa havina nembo kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Aidha Dkt. Linda ametoa wito kwa Watumiaji kuangalia vileo kama ni Orginal (Halisi) ili kuepuka madhara kwani kila bidhaa inapaswa kuthibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Baadhi ya pombe zinazozalishwa Tanzania zapigwa marufuku kuuzwa Rwanda
Serikali pumbavu ya ccm ilikanusha na kulaani Rwanda walipo zuia pombe hizo nchini kwao ...sasa ukweli wenyewe ndiyo huo ..pombe zinafungashwa hovyo kila sehemu.
 
Back
Top Bottom