Mufindi: Akamatwa akijaza pombe bandia kwenye Chupa

Mufindi: Akamatwa akijaza pombe bandia kwenye Chupa

Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini Mafinga.
Ina maana mamlaka zingine zilikuwa zimelala zikiisubiri kamati ije kukamata pombe ama kweli nchi hii laana tupu
 
Sisi wanywaji wa bia 🍺🍻 mambo yetu yako safi kabisa. Hatujawahi kusikia kuna kiwanda cha kutengeneza bia feki. Sisi tunagigida tu kwa raha zetu.
 
Huyu aendelezwe ili aboreshe uzalishaji, maana mpaka hapo huyo ni asset kwa jamii. Akifunzwa vizuri distillation atatoa mnyonyo bora.
huyo ni mpika gongo sawa na wale wa mitaani tu ila huyu anazipaki zionekane ni safi
 
Back
Top Bottom