Jiulize kwanini hawajaonekana kwenye video na badala yake wameonesha Tu vinywaji....angekuwa mwizi wa kuku kila MTU angemjua, ukiwa na pesa ni heshima na unapiga dili kubwa kama hizi na haufungwiHuyo ni sawa na muuaji tu,
Watu wa hivi inatakiwa wachukuliwe hatua kali sana inapothibitishwa na Mahakam kua wametenda kosa
Huyu aendelezwe ili aboreshe uzalishaji, maana mpaka hapo huyo ni asset kwa jamii. Akifunzwa vizuri distillation atatoa mnyonyo bora.Yaani kwa watumiaji ni bora kuacha tu
Maana nobody cares
Siku hizi Mchina anafyatua mitambo ambayo mtu mmoja anaweza kuhama navyo
Ni mradi mkubwa sana huo na unaingiza hela nyingi sana
Huyu ni wa kupigwa faini ya 1b au jela miaka 30
Waende na huko manzese ndani ndani,kimara ndani viwanda bubu kibaoInasikitisha sana ,anaua figo za walevi.
Hatari sana mkuu ,mapombe FEKi kibao mitaani ,leo nimeona mlevi kwenye kituo cha daladala ametoa pesa anataka kisungura cha kupimwa ,muuzaji akamwambia sina chupa ya kupunguzia ,mlevi akamwambie tafuta chupa yeyote uweke yaani yupo bwii.Waende na huko manzese ndani ndani,kimara ndani viwanda bubu kibao
Ukija na watengenezaji visungura na zile pombe za bilionea wa arusha zote uchafu tu
Ova
Mpaka bar kubwa wanawauzia watu pombe feki,na zinaingizwa kwenye stock zao,sasa watu usiku washalewa wanajuwa wanakunywa Hennessy kumbe siyo au anakunywa grants kumbe syoHatari sana mkuu ,mapombe FEKi kibao mitaani ,leo nimeona mlevi kwenye kituo cha daladala ametoa pesa anataka kisungura cha kupimwa ,muuzaji akamwambia sina chupa ya kupunguzia ,mlevi akamwambie tafuta chupa yeyote uweke yaani yupo bwii.
Hahahaaa TBS/TFDA wamelala usingizi mzito wa pono.Mpaka bar kubwa wanawauzia watu pombe feki,na zinaingizwa kwenye stock zao,sasa watu usiku washalewa wanajuwa wanakunywa Hennessy kumbe siyo au anakunywa grants kumbe syo
Bora utandike beer zako basi
Ova
Sio kwa nchi zetu za kimasikiniHuyu aendelezwe ili aboreshe uzalishaji, maana mpaka hapo huyo ni asset kwa jamii. Akifunzwa vizuri distillation atatoa mnyonyo bora.
Hawana muda huo wanashtka sahv,Hahahaaa TBS/TFDA wamelala usingizi mzito wa pono.
Kisungura,dabokiki sjui na zile za bilionea wa arusha majina hata sizijui nk yote uchafu tuWanywa pombe ipo siku watakunywa sumu iwe shida. Mapombe ya ajabuajabu yanatengenezwa kiholela
Ziko sana kanda ya ziwa, kule kuna konyagi kali kuliko kawaida.Konyahgi ni gongo , sasa kama mtu anajazilizia gongo inakuwaje waseme ni haramu?
HahahaZiko sana kanda ya ziwa, kule kuna konyagi kali kuliko kawaida.
Halafu wahudumu wanazijua so ukiwa umelewa unaletewa hiyo gongo konyagi.
Visionary leaderKagame alikuwa sahihi
vijana wanywa uchafu huu wanashindwa kuwapa shoo za uhakika wake zao mpaka kusababisha watoke nje ya ndoa kupata huduma hiyo nyeti ya faraghaKisungura,dabokiki sjui na zile za bilionea wa arusha majina hata sizijui nk yote uchafu tu
Ova
😄vijana wanywa uchafu huu wanashindwa kuwapa shoo za uhakika wake zao mpaka kusababisha watoke nje ya ndoa kupata huduma hiyo nyeti ya faragha
True. Wagonjwa wa figo wataongezeka. Si pombe tu vitu vingi ni feki hapa tz. Nobody cares especially watawala.Visionary leader