LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
ni gongo iliyoboreshwaKwani Konyagi sio Gongo?
ni gongo iliyoboreshwaKwani Konyagi sio Gongo?
Au tuseme Gongo safini gongo iliyoboreshwa
Wanamaliza watu daah basi tu.Kwa utawala huu mpe wiki 1 utakutana nae mjini anadunda tu.
Kazi ni kipimo cha utu
Tatizo nini sasa hizo pombe hazileweshi au hazilipiwi kodi?. Mbona Serikali inaongoza nchi chini ya kiwango nayo inataka ikamatwe?.pombe hizo ni Konyagi, Cuca Vodka, na Robot Gin baadhi yake vina nembo halisi ingawa havina nembo kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Kama ni mchangiaji mzuri kwenye Green Party, atasamehewa tu.
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini Mafinga.Kwa mujibu wa Dkt. Salekwa pombe hizo ni Konyagi, Cuca Vodka, na Robot Gin baadhi yake vina nembo halisi ingawa havina nembo kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Aidha Dkt. Linda ametoa wito kwa Watumiaji kuangalia vileo kama ni Orginal (Halisi) ili kuepuka madhara kwani kila bidhaa inapaswa kuthibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Baadhi ya pombe zinazozalishwa Tanzania zapigwa marufuku kuuzwa Rwanda
Hana mda wa kuscan wakati kichwa imewaka moto.Hawana muda huo wanashtka sahv,
We mtu ashalewa usiku mnene unamwambia a scan barcode sjui stika
Ova