Konyahgi ni gongo , sasa kama mtu anajazilizia gongo inakuwaje waseme ni haramu?
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini Mafinga.Kwa mujibu wa Dkt. Salekwa pombe hizo ni Konyagi, Cuca Vodka, na Robot Gin baadhi yake vina nembo halisi ingawa havina nembo kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Aidha Dkt. Linda ametoa wito kwa Watumiaji kuangalia vileo kama ni Orginal (Halisi) ili kuepuka madhara kwani kila bidhaa inapaswa kuthibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Vijana washamba washamba hawataelewa hii Kauli
Ndio ukweli huo!Vijana washamba washamba hawataelewa hii Kauli
Serikali pumbavu ya ccm ilikanusha na kulaani Rwanda walipo zuia pombe hizo nchini kwao ...sasa ukweli wenyewe ndiyo huo ..pombe zinafungashwa hovyo kila sehemu.
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini Mafinga.Kwa mujibu wa Dkt. Salekwa pombe hizo ni Konyagi, Cuca Vodka, na Robot Gin baadhi yake vina nembo halisi ingawa havina nembo kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Aidha Dkt. Linda ametoa wito kwa Watumiaji kuangalia vileo kama ni Orginal (Halisi) ili kuepuka madhara kwani kila bidhaa inapaswa kuthibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Baadhi ya pombe zinazozalishwa Tanzania zapigwa marufuku kuuzwa Rwanda