Mufindi: Akamatwa akijaza pombe bandia kwenye Chupa

Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini Mafinga.
Ina maana mamlaka zingine zilikuwa zimelala zikiisubiri kamati ije kukamata pombe ama kweli nchi hii laana tupu
 
Haya..Kagame kakataa hili ..TBS wameandika barua kulalamika...
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‚
Watamkamata mleta uzi kuwa ameichafua nchi kimataifa kwa kuithibitishia Rwanda kuwa nchi inauza pombe fake,
 
Sisi wanywaji wa bia ๐Ÿบ๐Ÿป mambo yetu yako safi kabisa. Hatujawahi kusikia kuna kiwanda cha kutengeneza bia feki. Sisi tunagigida tu kwa raha zetu.
 
Huyu aendelezwe ili aboreshe uzalishaji, maana mpaka hapo huyo ni asset kwa jamii. Akifunzwa vizuri distillation atatoa mnyonyo bora.
huyo ni mpika gongo sawa na wale wa mitaani tu ila huyu anazipaki zionekane ni safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ