Mufindi: Akamatwa akijaza pombe bandia kwenye Chupa

Sio mpka chai hii ni mpaka pombe..😅🥂
 
pombe hizo ni Konyagi, Cuca Vodka, na Robot Gin baadhi yake vina nembo halisi ingawa havina nembo kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Tatizo nini sasa hizo pombe hazileweshi au hazilipiwi kodi?. Mbona Serikali inaongoza nchi chini ya kiwango nayo inataka ikamatwe?.
 
Kama ni mchangiaji mzuri kwenye Green Party, atasamehewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…