Uchaguzi 2020 Mufindi: Mgombea Udiwani CHADEMA ajitoa, alaumu chama kukosa Sera na Ilani

Uchaguzi 2020 Mufindi: Mgombea Udiwani CHADEMA ajitoa, alaumu chama kukosa Sera na Ilani

Mtu anaitwa YUDA [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Labda hakupewa Ilan kabla...! baada ya kuipata ndiyo akagutuka kuwa kuna tatizo! Nawaza. Hata hivyo, Ndugu/Kamanda Yuda ametekeleza haki yake ya kidemokrasia inayohubiriwa na Chadema tena na kauli mbiu ya Uhuru, Haki na Maendeleo. Mkimshikisha adabu mtadhibitisha kuwa kweli ninyi ni waongo mnatangaza msichokiamini. Huo ni uhuru wake hakuna kumshikisha adabu!
Karibu Chauma tule biriani
 
Alidhani kuna sera kumbe vituko tuu. Unawaambia wananchi kuwa watachunga mifugo yao kwenye hifadhi ya za taifa alafu aendelee kuunga huo upuuzi! Malata una akili
Linafanyika nchi zingine tembea uone
 
UKITAKA KUJENGA, KUSOMESHA WATOTO NA HATA KUKWAPUA FEDHA ZA MKURUGENZI, MKUU WA WILAYA, MKUU WA MKOA NA HATA FEDHA ZA JIWE WEWE GOMBEA NAFASI YA UONGOZI KUPITIA CHADEMA. UTAFUATWA NA KUTATULIWA SHIDA ZAKO ZOTEEEEE
Lkn usikubali kukopwa imekula kwako,case study Julius karanga monduli anapambana na madeni yake alijiuza kwa mkopo
 
Wengi sana watajitoa baada ya kufika bei
Hilo linajulikana sana. Ila ambacho huwa najiuliza bila majibu ni kwa nini wagombea wa CCM ni waoga sana kupambana kwenye sanduku la kura wakati wao wanadai Chama chao kimefanya mengi makubwa na mazuri.
 
Heshimu haki na Uhuru wa Yuda
Ndiyo maana naheshimu haki yake ya kulitendea haki jina lake. Anao uhuru wa kupokea chochote toka kwa yeyote. Anao uhuru wa kugombea na kutogombea. Kosa ni pale anapotumia uhuru wake wa kupokea chochote kwa kuziba nafasi za wengine.
 
Hilo linajulikana sana. Ila ambacho huwa najiuliza bila majibu ni kwa nini wagombea wa CCM ni waoga sana kupambana kwenye sanduku la kura wakati wao wanadai Chama chao kimefanya mengi makubwa na mazuri.
Miyoni wanaujua ukweli balaa
 
Back
Top Bottom