GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,092
- 2,210
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cdm wote sio wa kuwaamini wana weza kuuza nchi na kutuuza watanzania.
Nani ampe hela? Wenye akili zao wanajua kabisa CDM ni matagaHizo swagga za kula hela za ccm na kuanza lugha za kitapeli mbona zishachuja?
Karibu Chauma tule birianiLabda hakupewa Ilan kabla...! baada ya kuipata ndiyo akagutuka kuwa kuna tatizo! Nawaza. Hata hivyo, Ndugu/Kamanda Yuda ametekeleza haki yake ya kidemokrasia inayohubiriwa na Chadema tena na kauli mbiu ya Uhuru, Haki na Maendeleo. Mkimshikisha adabu mtadhibitisha kuwa kweli ninyi ni waongo mnatangaza msichokiamini. Huo ni uhuru wake hakuna kumshikisha adabu!
Ameshafika bei
Wengi sana watajitoa baada ya kufika beiMAJINA YA YUDA HUWA NI YA WANA CCM. IMEKUWAJE YUD AWE CHADEMA?
Alidhani kuna sera kumbe vituko tuu. Unawaambia wananchi kuwa watachunga mifugo yao kwenye hifadhi ya za taifa alafu aendelee kuunga huo upuuzi! Malata una akiliDah! Huyu anapaswa kushikishwa adabu. Kwa nini aligombea kama alijua hicho anachokisema?
Jina uumba
Linafanyika nchi zingine tembea uoneAlidhani kuna sera kumbe vituko tuu. Unawaambia wananchi kuwa watachunga mifugo yao kwenye hifadhi ya za taifa alafu aendelee kuunga huo upuuzi! Malata una akili
Hata Lissu hana sifa ya mfia chamaNdio pale tunapokuwa na mashaka ya wagombea wa Chadema kama ni mamluki au wachuuzi,au pandikizi au wafia chama kama Lissu.
Lkn usikubali kukopwa imekula kwako,case study Julius karanga monduli anapambana na madeni yake alijiuza kwa mkopoUKITAKA KUJENGA, KUSOMESHA WATOTO NA HATA KUKWAPUA FEDHA ZA MKURUGENZI, MKUU WA WILAYA, MKUU WA MKOA NA HATA FEDHA ZA JIWE WEWE GOMBEA NAFASI YA UONGOZI KUPITIA CHADEMA. UTAFUATWA NA KUTATULIWA SHIDA ZAKO ZOTEEEEE
Ana damu ya Kikenya ondoa shaka hawezi sujudia sanaHata Lissu hana sifa ya mfia chama
Hilo linajulikana sana. Ila ambacho huwa najiuliza bila majibu ni kwa nini wagombea wa CCM ni waoga sana kupambana kwenye sanduku la kura wakati wao wanadai Chama chao kimefanya mengi makubwa na mazuri.Wengi sana watajitoa baada ya kufika bei
Hata wasipobaki hata mmoja sawa tu, lakini CCM hatuipendi kabisa.Mtabaki na wangapi sasa!
Ndiyo maana naheshimu haki yake ya kulitendea haki jina lake. Anao uhuru wa kupokea chochote toka kwa yeyote. Anao uhuru wa kugombea na kutogombea. Kosa ni pale anapotumia uhuru wake wa kupokea chochote kwa kuziba nafasi za wengine.Heshimu haki na Uhuru wa Yuda
Miyoni wanaujua ukweli balaaHilo linajulikana sana. Ila ambacho huwa najiuliza bila majibu ni kwa nini wagombea wa CCM ni waoga sana kupambana kwenye sanduku la kura wakati wao wanadai Chama chao kimefanya mengi makubwa na mazuri.