Sindio 😁MUFIT kashasema na walio wengi mmetii amri kama hamtaki muandamane yaishe
BAKWATA ni sawa na UWT tu.Kumbuka huyu ni kada mtiifu wa CCM na huko CCM uongo ni ibada kwao.
hamna kuremba🤸♀️😅Sindio 😁
Waislam waunde taasisi nyingine ya kuwasemea sio hawa wanafiki BAKWATAKabisa. Dar leo imepoa kabisa.
BAKWATA ina back up ya serikali. Yeyote atakaethubutu kwenda kinyume atashughulikiwa na serikali. Hili hasa ndilo linalompa kiburi huyo mzee.Waislam waunde taasisi nyingine ya kuwasemea sio hawa wanafiki BAKWATA
Unafanya mchezo na kukatwa steam!Kabisa. Dar leo imepoa kabisa.