Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

Ndugu zangu tafadhali beki zikabe, msifungulie pombe wala zinaa kesho tafadhali sana tujishikilie

Hakika tunaweza
 
Niliko kuwepo naona maandalizi ya kesho yamekwivaa.
Eid El Fitr!!! [emoji286]
 
Bado mpka sasa sijaona taarifa ya kuaminika
 
Hii ni kote Bara na Visiwani 🤔 maana Bara hakuna taarifa yoyote mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…