Thubutu!! wakae huko huko!!Safari ya waarabu kuja Tanzania
Mufti anakubaliana na kuongozwa na mwanamke au imgebidi tu.14 June 2022
Muscat, Oman
By: ONA
View attachment 2260529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alipofika katika makazi ya wageni mashuhuri (VIP) Kasri ya Al Alam kuonana na rais Samia Suluhu Hassan .
Mazungumzo ya Mh. Rais Samia Hassan na Mufti Mkuu wa Oman yaligusia masuala mbalimbali yanayogusa jamiii.
Katika mazungumzo hayo rais aliongozana na Dr. Pindi Chana, waziri wa Utalii , Dr. Khalid Salum Mohamed, waziri wa SMZ Ujenzi, usafiri na mawasiliano, balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk, naibu waziri mambo ya nje na ushirikiano Afrika Mashariki .
Tanzanian President receives Oman's Grand Mufti Tuesday 14/June/2022
Muscat: President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania received at her residence place in Al Alam Palace here today His Eminence Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili, the Grand Mufti of the Sultanate of Oman.
The Tanzanian President and the Grand Mufti of Oman exchanged cordial talks and reviewed matters of common interest.
The meeting was attended by Saud Hilal Al Shidhani, Ambassador of the Sultanate of Oman to the United Republic of Tanzania. It was also attended from the Tanzanian side by Dr. Pindi Chana, Minister of Natural Resources and Tourism, Dr. Khalid Salum Mohamed, Minister of Works, Transport and Communications and Ambassador Mbarouk Nassoro Mbarouk, Deputy Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation
Awali mheshimiwa rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliongea na diaspora ya waTanzania waishio Oman pia kuhudhuria mazungumzo ya Chambers ya wafanyabiashara za Tanzania, Zanzibar na ya Sultanate ya Omani kuona jinsi ya kuondoa vizingiti vya biashara kukuzwa na pia kuongeza biashara baina ya wafanyabishara.The value of Tanzania’s exports to the Sultanate of Oman reportedly stands at USD 9.5 Million per year, according to the Oman Daily Observer, in reference to the 2001 figures.
Oman on the other hand, exports to Tanzania goods valued at USD 36 Million, annually.
This means there is a trade imbalance of USD 27 Million, which the President and the Sultan of Oman may work to adjust during the state visit.
The visit by President Samia Suluhu Hassan, to the Sultanate of Oman, among other things, is to see how this trade imbalance and be reworked for the benefit of the two countries
Hao jamaa kuna kitu wamechomeka mbele ya mkanda je ni sime kama za wamasai??14 June 2022
Muscat, Oman
Rais Samia Hassan amaliza ziara yake ya kikazi sultanate ya Oman
Rais Samia Suluhu Hassan katika safari hii ya kikazi ya siku tatu ya mafanikio makubwa, ameongozana na ujumbe mzito wakiwemo Mh. January Yusuf Makamba waziri wa Nishati, Mh. Dr. Pindi Chana waziri wa utalii , naibu waziri mambo ya nje balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, Dr. Khalid Salum Mohamed waziri wa majenzi na makazi SMZ, naibu katibu mkuu wizara ya mambo ya nje Mh. balozi Fatma Mohammed Rajab
The Tanzanian President, concluded her official visit to the Sultanate of Oman
خامة الرئيسة التنزانية تختتم زيارتها الرسمية إلى #سلطنة_عُمان التي
Hawaendeshwi na mihemko ya kidunia. Wanaendeshwa na kitabu kitakatifu. Si umeona tunachokipata huku madhara ya mwanamke kupewa nafasi kubwa. Anasukumwa aende nje ili watu wapige na akirudi anajisifu kupewa hela lakini hajui alizokopa siku chache zilizopita watu wameshapiga 50% ya pesa.Ziara hii ya mh. Raisi wetu itakuwa fundisho kubwa kwa mtizamo hasi kwa waarabu na wataliban kuhusu mwanamke.
Nadhani sasa wataelewa kuwa mwanamke anawesa kushika nafasi za juu kabisa za uongozi na maamuzi na nchi ikaenda kwa amani, umoja furaha na maendeleo
Wataacha sasa kufikiri kuwa mwanamke hapaswi kusoma shule tofauti na za dini, na mwanamke sii chombo cha kukaa ndani , kuamuliwa nini cha kufanya na wanaume, kuwa mwanamke ni binaadamu kama binaadamu mwingine mwenye utashi na anayeitaji dialogue za hoja sio mabavu
Elite wanafulahi kwenye ule mjengo wao kama ndege.... naumefunikwa na mamiti.... Yani14 June 2022
Muscat, Oman
By: ONA
View attachment 2260529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alipofika katika makazi ya wageni mashuhuri (VIP) Kasri ya Al Alam kuonana na rais Samia Suluhu Hassan .
Mazungumzo ya Mh. Rais Samia Hassan na Mufti Mkuu wa Oman yaligusia masuala mbalimbali yanayogusa jamiii.
Katika mazungumzo hayo rais aliongozana na Dr. Pindi Chana, waziri wa Utalii , Dr. Khalid Salum Mohamed, waziri wa SMZ Ujenzi, usafiri na mawasiliano, balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk, naibu waziri mambo ya nje na ushirikiano Afrika Mashariki .
Tanzanian President receives Oman's Grand Mufti Tuesday 14/June/2022
Muscat: President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania received at her residence place in Al Alam Palace here today His Eminence Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili, the Grand Mufti of the Sultanate of Oman.
The Tanzanian President and the Grand Mufti of Oman exchanged cordial talks and reviewed matters of common interest.
The meeting was attended by Saud Hilal Al Shidhani, Ambassador of the Sultanate of Oman to the United Republic of Tanzania. It was also attended from the Tanzanian side by Dr. Pindi Chana, Minister of Natural Resources and Tourism, Dr. Khalid Salum Mohamed, Minister of Works, Transport and Communications and Ambassador Mbarouk Nassoro Mbarouk, Deputy Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation
Watu wamepiga pesa kipindi cha JPM na akiwa humu humu nchini. Ufisadi ni zaidi ya tuujuavyo sisi. Ni hulka ya binadamu kabla hata manabii hawajazaliwa.Hawaendeshwi na mihemko ya kidunia. Wanaendeshwa na kitabu kitakatifu. Si umeona tunachokipata huku madhara ya mwanamke kupewa nafasi kubwa. Anasukumwa aende nje ili watu wapige na akirudi anajisifu kupewa hela lakini hajui alizokopa siku chache zilizopita watu wameshapiga 50% ya pesa.
Na hivi wameshajua sio mfuatiliaji wala msomaji wa taarifa nyeti zaidi ya comments na likes mitandaoni basi wanashikilia hapo hapo.