DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Huyo shehe mkuu ni dkt wa nini?Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally
Same statement which failed on M029..Acha waandamane utawamalizia shida zao.kwanza huko misikitin hamna msaada wowote"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally
Dk wa ubwabwa mchafu!Huyo shehe mkuu ni dkt wa nini?
Hovyoo"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Je mmesharekebisha wanayolalamikia?Ama maneno kama kawaida?"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Posho inatoka CCM na gari na ubwabwa wa kunukia unategemea kitu tofauti hapoWaandamanaji hawahitaji matamko ili kufanya maamuzi yao.
Walishasema watatoka na itakuwa hivyo.
Hata ashuke Malaika msimamo ndio huo.
Kwanini Mufti asiiambie Serikali irejeshe miili iliyochukuliwa kwa nguvu na kuzikwa kusikojulikana?
Kama kiongozi wa Dini ya haki, kwanini hakemei utekaji unaofanywa na Serikali?
Amekimbilia kushawishi watu wasiandamame kabla ya kuonesha tatizo lipo wapi.
Huyu jamaa ni hovyo sana. Kwani ni wapi wamesema waislam ama wakristo wanaandamana.Maandamano ni ya watanzania wote,