PostGE2025 Mufti wa Tanzania: Tunawasihi waislamu kutokujihusisha na maandamno ya Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Huyo sheikh bana, bado anadhani kuna wale waisilamu wanamsikiliza kwa hivyo.
 
Huyo shehe mkuu ni dkt wa nini?
Dokta wa
1000622851.jpg
 
Mufti kawaambia waislamu nyie makafiri inawahusu nini?

Mbona mnawashwa sana ni sisi?
 
Na tukiwatoa ccm na mapolisi yao muhame mwende medina au mecca kabisa.

Hutaki kushiriki halafu ule matunda ya uhuru wetu?
 
"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Wasiposhiriki watakataje vichwa walivyoahidi kuvikata?
 
Udini wa kijinga sana huu! Angekuwa ana hoja ya msingi basi angewasihi wananchi wote pasipo kujali tofauti ya imani zao, kutoshiriki kwenye hayo maandamano.
Wananchi wote wa nini? Yeye kawashauri waislamu kinawauma nini na nyie ni wasomi yeye ni mtu wa ubwabwa mwalimu wa madrasa!

Tulizeni mshono tuacheni jamani….
 
"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Mtu awezi kuwa ni muislamu mwenye kwenda misikitini na akawa na AKILI,
 
Haya masengerema yameona udini ndio tegemezi lao la mwisho

Hakuna mufti hapo, ni chawa la CCM tu hapo ndio linaongea.

Mimi naanzaje kumsikiliza mtu anaepotosha hata muandamo wa mwezi kwa maelekezo ya serikali.

BAKWATA ni sawa UWT tu, ni tawi la CCM.
 
"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Kwa hiyo uongozi mbovunea CCM hauna madhara kwa Waislamu? Au ana maana Waislamu waendelee kuvumilia tu...
 
Back
Top Bottom