Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Bado Kuna watu hawaamini BAKWATA ni tawi la CCM!
Acheni ujinga, msiseme wote, semeni nyinyi.Maandamano ni ya watanzania wote,
Serikali inashauriwa na kukosolewa sirini.Mbona hajatoa ushauri kwa serikali nini wafanye ikitokea kukawa na maandamano?
Hujaona maislamu machache ya humu JF yanayolalamikia MOU ya GoT na kanisa (TEC) kuwa yananufaisha Wagalatia pekee!!?! Hawakumbuki kuwa bila ya hospitali ya kanisa, THE BIG SHOW , Ritz , gallow bird na wengineo wasingekuwapo Jamii Forums leo!!???Mufti huwa anapewa V8 Kama la mbunge na serikali,na posho za Kila mwezi..ila angekua kiongozi wa TEC kapata neema hiyo,asaleleee...
Huo ndio ujinga. Kwa nini iwe sirini? Yani mfanye makosa sirini yaonekane hadharani, afu tuendelee kuwaonya na kuwashauri sirini.Serikali inashauriwa na kukosolewa sirini.
Msilazimishe kila mambo yapelekwe kihuni na kimihemko.
Babako au mama yako, akikosea hadharani unamkosoa hadharani au mbele ya watu bila adabu na ufedhuli ? Kama unafanya hivyo (najua hili huwezi kufanya, kwa kiongozi wa nchi hili ni bora zaidi) huna akili wala adabu.
Ni kweli Mufti alimradi kuna wengine wanakula Kwa niaba yao"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Huo ndio ujinga. Kwa nini iwe sirini? Yani mfanye makosa sirini yaonekane hadharani, afu tuendelee kuwaonya na kuwashauri sirini.
Serikali sio familia mzee. Ndiyo maana hata CAG huweka ripot yake hadharani na tunajua ubadhirifu wote.
Mambo hayafichwi na hayapelekwi kimihemko kama mnavyo fanya nyinyi.Acheni kuficha ficha mambo, uwazi ndio msingi na kufanya utawala usitiliwe mashaka.
Serikali haiendeshwi kwa utashibwako. Kuna sheria na kanuni. Ambazo zinakuwa enforced.Yaani vijana mna ujinga sana, hivi wewe ukikosolewa mbele ya vijana wako wa kazi tena kwa utovu wa adabu, utakubali ? Msipende kufurahi kuwafanyia watu wengine mambo ambayo ukifanyiwa wewe hutakubali.
Huo ndio utaratibu sahihi, mambo yapo kwa daraja, nafasi na muktadha wa hali.
Hii ni kawaida au utaratibu mpya ?
Familia unaongoza meza na vita ? Familia unaongoza watu kama ambavyo serikali unaongoza watu. Kwenye familia.
Mambo hayafichwi na hayapelekwi kimihemko kama mnavyo fanya nyinyi.
Wapi haki za raia hazikulindwa na kuheshimiwa kiasi cha kuingia mtaani kufanya uhalifu uliofanywa na kupanga mapinduzi?Huwa mnakenua kweli mkisikia matamko ya amani uchwara kutoka kwa hao vibaraka wenu wa bakwata! Ila mkiambiwa sasa kuhusu kuzilinda na kuziheshimu haki za raia, mnanuna na kuwachamba TEC.
Sida ni kwamba sasa watakaopunguzwa ni hao hao wanaopanga kuwapunguza wengine!Mufti wajibu wako umeshamaliza, asiyeelewa muache aende nchi ina watu karibia Milioni 65, wakijipunguza wengine haina shida.
Kwa vile wewe ni nguruwe tu unayefugwa na Samia Suluhu Hassan huwezi kujuwa "ni wapi HAKI" za waTanzania zinavurugwa kila mahali chini ya mfugaji wako huyo.Wapi haki za raia hazikulindwa na kuheshimiwa kiasi cha kuingia mtaani kufanya uhalifu uliofanywa na kupanga mapinduzi?
Umenyimwa haki gani?
Bora umenisaidia kumjibu.Kwa vile wewe ni nguruwe tu unayefugwa na Samia Suluhu Hassan huwezi kujuwa "ni wapi HAKI" za waTanzania zinavurugwa kila mahali chini ya mfugaji wako huyo.
Kamuulize kwa nini hataki achaguliwe na waTanzania ili awaongoze kwa AMANI anavyotaka yeye. Kuna lazima gani ya kulazimisha kuwatawala watu wasiotaka awaongoze?