PostGE2025 Mufti wa Tanzania: Tunawasihi waislamu kutokujihusisha na maandamno ya Desemba 9

PostGE2025 Mufti wa Tanzania: Tunawasihi waislamu kutokujihusisha na maandamno ya Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Tunamsubiri Lema akishaandaliwa majibu na Malisa ndio aje stupid humu.Jamani wapeleke watoto wenu shuleni,imagine Lema ansubirigi kuandikiwa na Malisa ndio apost kwa mitandao.
 
Ili waandamanaji wamsikilize mtu yeyote yule inabidi haya yatokee.
1. Kama vile wanavyo himiza watu wasiandamane kwenye vyombo vya habari, inabidi kwanza watoke kwa hiyo style kwa kuitaka serikali haramu iwajibike.
2. Uwajibikaji ikiwemo waliohusika kuachia ngazi hadi yule top wao.
3. Baada ya hayo mambo kufanyika wakituambia tusiandamane, waandamanaji tutawalewa ila sio vinginevyo.
Subiri Lema aandikiwe majibu toka kwa Malisa ndio stupid humu
 
Watanzania wanapigana kwa hali na mali kuilinda CCM badala ya maslahi ya nchi, ndio maana tumebaki mwaka 1972 wakati wenzetu wako mbali sana
Kumbe Lema anapigania nini?
 
Huyu jamaa ni hovyo sana. Kwani ni wapi wamesema waislam ama wakristo wanaandamana.

Mbona hajatoa ushauri kwa serikali nini wafanye ikitokea kukawa na maandamano?

Hawa wazee sijui wanafikiria kwa kutumia nini? Unashindwa vipi kulitazama jambo kwa upana wake.
Wakishapewa fedha na samuya wanasahau tu hata maana ya kuwa viongozi wa kidini ,kuwa kiongozi wa dini sio kuweza kuwasalisha tu watu na kuwapa vifungu vya biblia na quran, kiongozi wa dini anatakiwa kuwa mfano wa maisha ya imani, kuhubiri ukweli bila uoga na kuwahudumia watu
 
BAKWATA haina msaada wowote kwa waislam na Watanzania kwa ujumla.. Waislam wanatekwana kuuawa, BAKWATA kimya! Waislam na watanzania kwa ujumla, wanauawa, BAKWATA kimya!!

BAKWATA imekuwa chombo cha kutetea watawala wanapowafanyia uharamia wananchi. BAKWATA inaudhalaulisha uislam.
Unaweza ukafikiri kuwa labda Mzee Kibao na Sheikh Majini walikuwa "makafiri" wa TEC. Kumbe ni Waislamu wenzake waliouwawa bila sababu!
 
Hapa huwezi kumsikia Msigwa au Chalamila akipanua domo lake kusema viongozi wa dini wasitoe matamko .

Mimi nasema wanaoandamana wana haki ya kikatiba kuandamana sio haki ya dini hivyo mimi hata akiibuka mkristo, muislamu, mpagani akataka kuwavunjia watu haki hii nitampinga.
 
Kwahiyo leo umoja wa watanzania unatafsiriwa kwa kujibu wa dini zao? Yaani nauliza hivi, matatizo na yale wanayoyapigia kelele ni kwa ajiri ya dini moja? Na je kuna dini hapa Tz watu wake wako peponi na wengine wako jangwani?

Haya mambo ipo siku yatawarudia hao hao wanaojaribu kutumia dini kama sehemu ya hoja zao badala ya kujenga hoja kimantiki bila kuhusanisha na dini za raia
 
"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Udini wa kijinga sana huu! Angekuwa ana hoja ya msingi basi angewasihi wananchi wote pasipo kujali tofauti ya imani zao, kutoshiriki kwenye hayo maandamano.
 
Back
Top Bottom