PostGE2025 Mufti wa Tanzania: Tunawasihi waislamu kutokujihusisha na maandamno ya Desemba 9

PostGE2025 Mufti wa Tanzania: Tunawasihi waislamu kutokujihusisha na maandamno ya Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu hana hata upako wa kuitwa mufti. Mufti walikuwa wale waliotangulia kabla yake, walikuwa wakitajwa unaona Mohammad S.A.W huyu hapa.

Lkn huyu ana sura ya kiwizi wizi na kibangi bangi tu.
 
Ndio akili mlizo nazo za kubishana kuhusu vyama badala ya maslahi ya nchi.
China wamepewa TAZARA kuiendesha for 27 years hakuna hata kilaza mmoja anajua hilo, pumbavu kabisa
Wao ndio walioijnga tena kwa mkopo,kilaza mkubwa sana wewd
 
Huyu nguruwe kama anawafuasi wanamsikiliza basi tumekwisha.

Anamaana kuwa hao waislamu hawatekwi, hawakuuliwa tarehe 29 na 30 baada ya uchafuzi mkuu?
 
Unaoushahidi? Uweke hapa
JF walifuta Uzi wangu mwezi wa 7,nilieleza kuanzishwa kwa bakwata niliweka Hadi majina na orodha ya viongozi wote wa kwanza Hadi wa Leo,na posho wanazolipwa na serikali...post haukua na mlengo wa kidini ilikua History tu...

Or unafikiri bakwata nani ana sponsor shughuli zao?? Islamic foundation??
 
Kwahiyo leo umoja wa watanzania unatafsiriwa kwa kujibu wa dini zao? Yaani nauliza hivi, matatizo na yale wanayoyapigia kelele ni kwa ajiri ya dini moja? Na je kuna dini hapa Tz watu wake wako peponi na wengine wako jangwani?

Haya mambo ipo siku yatawarudia hao hao wanaojaribu kutumia dini kama sehemu ya hoja zao badala ya kujenga hoja kimantiki bila kuhusanisha na dini za raia
Hivi ni vita vitakatifu vya msalaba, ndiyo maana siku ya uapisho wa rais mtu kutoka TEC alisema waliokufa wako mbinguni
 
JF walifuta Uzi wangu mwezi wa 7,nilieleza kuanzishwa kwa bakwata niliweka Hadi majina na orodha ya viongozi wote wa kwanza Hadi wa Leo,na posho wanazolipwa na serikali...post haukua na mlengo wa kidini ilikua History tu...

Or unafikiri bakwata nani ana sponsor shughuli zao?? Islamic foundation??
Tunajua bakwata iliundwa na nyerere,ila si kweli kuwa mufti hulipwa posho na serikali
 
Udini wa kijinga sana huu! Angekuwa ana hoja ya msingi basi angewasihi wananchi wote pasipo kujali tofauti ya imani zao, kutoshiriki kwenye hayo maandamano.
Soma tamko lake lote,kamalizia kuwasihi watu wote na viongozi wa dini zingine
Ajabu TEC haitoi matamko ya hivyo wala haikutoa kabla ya 29/10, maana yake wanayaunga mkono
Waliyapa promo kwa kudai waliokufa wako mbinguni
Sasa sijui ni raia tu au na askari zaidi ya 20 waliouawa nao wako mbinguni
 
Wao ndio walioijnga tena kwa mkopo,kilaza mkubwa sana wewd

China wamechukua TAZARA for 27 years na kwa kipindi hiki chote serikali Tanzania itapewa $1b only. Mkataba uliosainiwa na wasomi wenu, halafu unaniita mimi kilaza? Ndio nilisema watanzania wanapigania CCM lakini si maslahi ya nchi. You're one of them, stupid kabisa
 
Haya masengerema yameona udini ndio tegemezi lao la mwisho

Hakuna mufti hapo, ni chawa la CCM tu hapo ndio linaongea.

Mimi naanzaje kumsikiliza mtu anaepotosha hata muandamo wa mwezi kwa maelekezo ya serikali.

BAKWATA ni sawa UWT tu, ni tawi la CCM.
*Tegemeo
Muwe mnaenda shule!
 
Waislamu wanapenda sana udini ila siku yakitokea wao ndio watakuwa wahanga wakubwa maana wengi wao wanaalama usoni
 
Kwa nini wanakomalia kuwa kuandamana ni matendo ya kuvuruga amani? Si haki ya kila raia kuandamana kwa amani. Na safari hii vijana wameapa kuandamana kwa amani. Kwa nini hawa wako hivi?!! Wananikera
 
BAKWATA haina msaada wowote kwa waislam na Watanzania kwa ujumla.. Waislam wanatekwana kuuawa, BAKWATA kimya! Waislam na watanzania kwa ujumla, wanauawa, BAKWATA kimya!!

BAKWATA imekuwa chombo cha kutetea watawala wanapowafanyia uharamia wananchi. BAKWATA inaudhalaulisha uislam.
Bakwata sio waislamu mkuu Nathaniel utakua umenielewa waislamu hawawezi kwenda kinyume na uliyoyaongea na wakakaa kimya..
 
"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata kwa wananchi pia tuepuke uchochezi unaoweza kutugawa, nawasihi waislamu kote nchini kutojihusisha na maandamano hayo "

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally
Hizi nguvu wangekuwa wanazitumia kupambana na utekaji na upotevu wa raia unaoendelea wangeonekana watu wa maana.

ila bahati mbaya wanatumika kutetea masilahi ya waliojipa madaraka.

Wanabaki kuwa takataka tu.
 
Soma tamko lake lote,kamalizia kuwasihi watu wote na viongozi wa dini zingine
Ajabu TEC haitoi matamko ya hivyo wala haikutoa kabla ya 29/10, maana yake wanayaunga mkono
Waliyapa promo kwa kudai waliokufa wako mbinguni
Sasa sijui ni raia tu au na askari zaidi ya 20 waliouawa nao wako mbinguni
Huwa mnakenua kweli mkisikia matamko ya amani uchwara kutoka kwa hao vibaraka wenu wa bakwata! Ila mkiambiwa sasa kuhusu kuzilinda na kuziheshimu haki za raia, mnanuna na kuwachamba TEC.
 
Back
Top Bottom